CHADEMA walitegwa, HAWAKUTEGEKA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA walitegwa, HAWAKUTEGEKA...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 31, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wakisubiriwa kwa hamu mno.Waseme japo neno moja juu ya vurugu za Zanzibar.Vikao mbalimbali vya Nyinyiemu vilijiapiza kudandia kwa kuponda kauli ya kiofisi ya CHADEMA juu ya vurugu hizo.Intelijensia ilihamia CHADEMA.CHADEMA ikabaki kimya.Imecheza karata zake vyema.CCM wamekosa pa kuanzia.Waweza kusema:Maaskofu waliomuona Shein wametumwa na CHADEMA.Mtego umefyatuka kabla ya kumnasa aliyelengwa.Nyinyiemu chaliiii....kazi ni kwenu!
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mbona CDM ilishatoa tamko? kuna uzi humu kuhusu hilo!
   
 3. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hawakutoa tamko ambalo nyinyiemu walikuwa wanalitaka ili walitumie,chadema tamko walilolitoa lilikuwa haliwapi mwanya walioutaka.Ni kama vile kumsubiri mtu mlango wa mbele kwa rungu,yeye akatokea mlango wa nyuma baadaye unagundua alishasepa kitambo..Magamba wataanza kufa kwa Presha soon!! Walitaka waseme Chadema ndio wanachochea vurugu za ZNZ
   
 4. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli chichiem chaliii...watatumia mbinu zote ila hawawezi kushindana na nguvu ya umma
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Exactly VUTA-NKUVUTE hata mimi nililiona hilo, ndio maana baada ya vurugu thread nyingi zilijaa kuuliza mbona CDM kimya, mbona chama kikuu cha upinzani hakisemi lolote zikiongozwa na kiziwi na zomba. Vile vile walikuwa wametega kusikia kauli ya maaskofu hasa Pengo napo wakagonga mwamba.

  Naanza kukubaliana na baadhi ya watu kuwa uchomaji wa makanisa ulifanywa na watu maalum kwa makusudi maalum.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Imekula kwao Magamba
   
 7. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ukimya wa CHADEMA kwangu si hoja; kinachonisumbua ni ukimya wa Rais wa Muungano (Dr Kikwete) na Rais wa Zanzibar (Dr Shein) wakati umma wote unategemea kauri zao ili kupata msimamo wa kitaifa. Umma unasubiri kumsikia mmojawao kwa kuwa katika viapo vyao ni pamoja na kulinda katiba, muungano na amani ya watanzania. Hisia zanisukuma kufikiria kuwa labda tuvute subira, bado serikali inaendelea na uchunguzi / upelelezi wa jambo hili zito la vurugu zxa kisiasa (kudai Muungano) kugeuka kuwa za kidini (kuchoma makanisa na biblia). Hata kwenye suala la mgomo wa madaktari serikali ilisubiri kwanza ndipo badaye ikajibu na kuelezea kwa kishindo kikubwa.
   
 8. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watasema nini wakati hili kundi walililea wenyewe mpaka limekuwa kubwa, hawa ndo waliipigia debe nyinyiem wakati wa uchaguzi, nadhani kunamahitaji hawajatimiziwa ndo maana wamekuwa wakali sana, wao shida yao ilikuwa ni mahakama ya kadhi, Magamba wakawachinjia baharini, NDO MAANA WAMEAMUKA KWA NGUVU ZOTE!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wacha kutia maneno yako kinywani mwangu, ni wapi nilisema hayo niliyoyawekea nyekundu?

  Kama huna cha kusema usitie maneno yako kinywani mwangu, huo ni uzandik, ubaradhuli na ufataani.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  kauri , pl kauri { English: cowrie shell }
  noun 9/10 [ photos: upload ]


  kauri { English: cowrie shell[ derived: (Ind.), kaule ] }
  noun [ photos: upload ]
  Swahili Example: vyombo vya kauri

  [ note: porcelain, China. ]

  kauri , pl kauri { English: chinaware }
  noun 9/10 [ photos: upload ]

  Source: http://www.kamusi.org/en/lookup/sw?Word=kauri
   
 11. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu ipo likizo labda wakirudi watatoa tamko.
   
 12. W

  Wangama guy Senior Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmh kama hio ndo mtego wao, basi kwa hakina 'Tulianzana Mungu na tutamaliza na Mungu'. Mungu akiwa upande wetu, nani atakuwa juu yetu?. Poleni magamba!
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Siyo lazima niandike exactly maneno yote uliyosema lakini lengo linaonekana wazi, mfano thread yako uliyoianzisha just after the Zanzibar event lengo lilikuwa ni ku-associate mkutano wa CDM Jangwani na vurugu lakini watu wakakupuuza....

  Thread started by zomba https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/269961-m4c-zanzibar.html?highlight=#post3954425

   
 14. A

  Arety New Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda kunaj jambo lingine Linakaribia kibuka huko Zanzibari , Pia waliakamatwa watachukuliwa hatua????
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanza umekiri kuwa ni mdhaifu kwa kushindwa kutetea usemi wako na kukiri kuwa hayo uliyoyaandika sijayasema, tazama niliyokuwekea nyekundu.

  Hayo uliyoyanyofoa kwenye nyuzi zangu na posts nilizoziweka unaweza kujibu huko kutokana na muktadha husika.

  Siku zingine uwe makini na usikurupuke na unafik wako.
   
Loading...