Katika kile kinachoonekana kutishwa na mwitikio wa wananchi wa Mto wa Mbu, viongoji vyake na maeneo ya jirani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanyike siku ya Jumamosi, 02/06/2012, serikali...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
BY FINNIGAN WA SIMBEYE, 31 MAY 2012
Negotiations between the Ministry of Energy and Minerals and mining companies on reviewing royalty paid from...
Dk Slaa amshukia mama Anna Mkapa
Aidha, Dk Slaa alisema serikali kwa kujua iliamua kwa makusudi kumuuziauza kiwanda pekee cha korosho kilichopo mkoani Mtwara kwa sh. milioni 50 na kuwaacha...
Wakati hayo yakiendelea, wabunge wengine watatu wa CCM ambao walisaini kusudio la kumngoa madarakani Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nao huenda wakajadiliwa kutokana na hatua yao hiyo.
Wabunge...
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha...
Tawala zote duniani ambazo zimeshindwa kuwajibu wakosoaji wake mara zote zimegeukia kutumia nguvu kuzima hoja dhidi yao. Hili ni kweli na tumeliona Syria, kama tulivyoliona Misri; tumeliona...
Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.
Ratiba ya leo Wilaya...
Wakubwa kwa wadogo salamaaaa hebu nisaidieni maana sijaelewa hizi ahadi za viongozi hasa wa serikali zinakwisha lini kutekelezwa maana muda unazidi kwenda lakini ahadi hakuna inayokamilika. mfano...
Nape Nnauye
Nikikagua ujenzi wa Hospital ya Rufaa Singida! TULIAHIDI, TUMETEKELEZA!...wale wanaodhani ahadi za CCM kwa watanzania hazitekelezwi here we go!
Sehemu ya maneno ya Mbowe wakati yuko kwenye mikutano Tandahimba (mikoa ya Kusini)
Kuhusu kesi zake: Hadi sasa mimi ninakesi tisa za uchochezi, sitanyamaza hata wakiniongezea nyingine...
Dereva makini kabla ya kuanza safari yake ni lazima ahakikishe usalama na uzima wa gari analoendesha. Gari analojaribu kusafiri nalo huyu kijana mwenzetu Nape (CCM) Linahitaji marekebisho makubwa...
Nini kilitokea Tanganyika ikapotea ktk ramani ya kitaifa na kimataifa kiasi cha kuzaliwa kile kinachoitwa Tanzania bara ilhali Zanzibar ikaimalika na kuwa na katiba yake?
VIKAO VYAANZA KUJADILI KAULI ZAKE, WENZAKE WANNE NAO KUJADILIWA KWA KUUNGA MKONO PINDA ANGOLEWE
Waandishi Wetu SIASA za minyukano ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi na...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
BY ASHERY MKAMA, 30 MAY 2012
TANZANIA has increased the number of scholarship opportunities for China from five to 10 every year.
This was done so as many...
SERIKALIi yetu mnakera na msipokuwa makini mtaanza kukera hata WALIOKWISHA KUFA.Haiingii AKILINI kwa mtu mwenye akili kusikia WATUMISHI mbalimbali wa SERIKALI yetu wanaidai SERIKALI huku SERIKALI...
Mfa maji haachi kutapatapa. Kutapatapa kwa CCM kunaleta hatari kubwa. CCM kimekuwa chama cha propaganda hawazungumzi sera tena, matusi kuliko hata DP. Wazee wa nchi hii wakemeeni CCM hizi...
Awali ya yote nianze kwa kumsifu Masako kwa jinsi alivyowaalika watu wenye mitizamo tofauti ktk kipindi cha Kipima joto cha ijumaa (jana) na zaidi ni jinsi alivyokuwa wazi kuruhusu maoni...