Wanazuoni nsaidieni, kwanini tanganyika ilipotea ktk muungano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanazuoni nsaidieni, kwanini tanganyika ilipotea ktk muungano.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Noti mpya tz, Jun 2, 2012.

 1. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nini kilitokea Tanganyika ikapotea ktk ramani ya kitaifa na kimataifa kiasi cha kuzaliwa kile kinachoitwa Tanzania bara ilhali Zanzibar ikaimalika na kuwa na katiba yake?
   
Loading...