Ahadi za wanasiasa zitatekelezeka mwaka wa mwisho kwenye ubunge wao?????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi za wanasiasa zitatekelezeka mwaka wa mwisho kwenye ubunge wao??????????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimboko, Jun 2, 2012.

 1. K

  Kimboko Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa kwa wadogo salamaaaa hebu nisaidieni maana sijaelewa hizi ahadi za viongozi hasa wa serikali zinakwisha lini kutekelezwa maana muda unazidi kwenda lakini ahadi hakuna inayokamilika. mfano barabara za pembezoni mwa jila Dar ili kupunguza msongamano ziko wapi
   
Loading...