Nape akagua ujenzi hospitali ya rufaa mkoa wa Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape akagua ujenzi hospitali ya rufaa mkoa wa Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jun 1, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [h=6]Nape Nnauye
  [/h][h=6]Nikikagua ujenzi wa Hospital ya Rufaa Singida! TULIAHIDI, TUMETEKELEZA!...wale wanaodhani ahadi za CCM kwa watanzania hazitekelezwi here we go![/h][​IMG]
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  hii sio ile hospitali iliyojengwa kwa msaada wa wachina?
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  anakagua kama nani? Huu ndio ungese wakupoliticize kila kitu... Yy ni contract manager?
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mkuu hata mimi nimeshangaa sana, Hivi kiongozi wa propaganda za chama ana mamlaka ya kuiagiza serikali itekeleze..... duu?? ama kweli sijui ni kutojua wajibu na mipaka yake ama ni serikali ya kanyaga twende kila anayejisikia anaagiza tu....
   
 5. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Big up

  We waache waandamane, wapo wabunge wa upinzani wanaofikili wa kutekeleza ahadi ni ccm tu wakati na wao waliahidi ajimboni mwao.

  Nakuhakikishia 2015, watu watalia na kusaga meno, wananchi hawataki maandamano wanataka utekelezaji wa mliyoahidi.
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hospitali ni ya CCM?
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Isipojengwa wa kulaumiwa ni CCM, lakini ikijengwa CCM ikakagua bado inalaumiwa. Sasa kama hamtaki kiongozi wa CCM kukagua, ikijengwa vibaya au pesa zikiliwa msilaumu CCM!
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Tatizo laserikali legelege
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  watu wanazungumzia ropokwa kwenda kukagua na wajibu wake wewe unaongelea ujenzi

  kweli kuwa ccm kunaathiri upeo
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Mtalia nyie mliozoea kudanganya watu! Anakagua ni hosipitali ya ccm hiyo? 2015 Vua Gamba vaa Gelwanda itakuwa imefikia mahali pake. Endeleeni na kejeli zenu hawa kila siku mikutano, maandamano lakini elimu ya uraia itawafikia wananchi wengi hasa wa vijijini.
   
 11. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nape,

  Mbona ufundishiki?! Asha mipasho dogo.

  Now I offer you, come to my class and learn how to act as a CEO online i.e Virtual Executive Course: Post as a CEO.
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,548
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  nimeipenda sana hii Nape kwani hii ndio kazi amabyo chama lenu inatakiwa kuifanuya ni kuisimamia serkali yenu na sio kushinda na waandishi wa habar kupiga propaganda na hivi ndio CDM itatakiwa ifanye baada ya kuweka serkali yake 2015.
   
 13. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  yaan sisi watu wa singida ndo bado tuko nyuma.huyu gamba kafata nn kwetu??jaman CDM fanyen mchakato yule mwarabu atoke ndio anaowaleta.
   
 14. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,159
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Mshenga haingii chumbani kwa mkeo kwasababu tuu alikusaidia kuoa
   
 15. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,159
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Naamini kwa waliofikiri ezekiel maige alimvaa nape kwa hasira ya kukosa uwaziri wameanza wenyewe kujionea na kujidhihirishia kuwa nape ni gamba baya zaidi japo si kama mapacha watatu lakini naye ni gamba gumu sana ndani ya ccm.hebu tujiulize kuna uenezi gani unaweza kufany kwa kutembelea hospitali?kuna watu wangapi waliokuwepo pale a,mbao nape aliweza kuwashawishi kujiunga na ccm?hivi nape ni waziri wa afya au katibu mwenezi wa ccm/hivi nape anaweza kujibu mapigo ya cdm inayokata mbuga kama moto wa nyikanji kwa kutembela hospitali ambayo hata wagonjwa haina?hivi ni kweli nape ameusoma wakati na kujua nini hasa anatakiwa kufanya muda huu ili kuirefushia maisha ccm?
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,935
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Nape hajui hata anatakiwa afanye nini.
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani nape ni kiongozi gani ktk serikali hii ya tz?
   
 18. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,343
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hiyo hospitali haijakamilika kwa sababu serikali inatoa pesa kidogo kidogo kila mwaka.

  Sasa Nape ameiagiza serikali kuu kutoa hiyo pesa haraka....... Siasa mchezo mchafu sana....yaani Nape (meneja mawasiliano) anamwagiza Kikwete (CEO) kutekeleza jambo fulani....asipotekeleza atamfanya nini.?????

  Kukagua miradi ni jambo jema ila matamko si kazi ya chama tawala....
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,160
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Huu ukaguzi Wa macho bila wataalam umeanza lini?Ahadi sio zawadi kwa wananchi bali ni haki ya wananchi sababu wanalipa kodi hivyo ni haki yetu ya msingi sasa hizi sifa zingine(kiongozi Wa siasa kukagua majengo bila wataalam)wananchi hatuzitaki.Wizara ya ujenzi wataalam wake wanafanya nini maofisini mpaka siasa iingilie mambo ya kitaalam zaidi?
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maige kamwambia aache kukibomoa chama bali aongeze wanachama na aache kufanya ccm ni mali yake, sa hapa asijesema na hio hospital ni yake akajimilikisha coz Maige kwa mwita Nape ni GAMBA no 1 anatakiwa ajiondoe Mapema CCm
   
Loading...