Yusufu Makamba arudishwe kuja kuokoa jahazi la CCM

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Ndoto za mchana kweupe hizi. Siyo siri kwamba huyu mzee ni kati ya watu waliochangia ccm kupungua mvuto na nguvu kote Tanzania.
 
ama kweli kuchoka kubaya. Uzuri makamba aliwaambia anatangulia kuwaandalia makao labda mngemuuliza kama tayari.!
 
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.

CCM is bound to sink, and it surely sink hata ashuke Malaika kutoka mbinguni!
That is a decree, I presume.
 
Umefikiria muda mrefu ndio umekuja kuweka thread kama hii j ? Kumbe na wewe humo? Kwani cdm wana kuzui kuishi? Wewe una husika kwenye EPA? Subiri na wewe yako yanakuja gamba! Kumbe ampati usinginzi. Peopleeeeeeeeees poooooooooooooooowwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwerr:cool:
 
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.

Unganisha hapo pekundu, Kumbe CDM inawanyima usingizi eeh.
 
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.
Seif al islam, naomba nikuulize tumaswali tudogo tu;

  1. Kwa nini ungependa mbio za Chadema ziishe fasta?
  2. Je hayo maisha ya kawaida unayowatakia Watanzania ni maisha ya aina gani?
  3. Kwa nini unaamini maisha ya Watanzania yataendelea kama kawaida bila Chadema?
  4. Je ni Chadema ndio ndio chanzo cha maisha ya Watanzania kwenda kombo?
  5. Na mwisho hayo maisha ya kawaida yalikuwa yapi kabla ya Yusufu Makamba kuachia ngazi?
Nakuomba kwa heshima na taadhima urudi fasta uniondolee hiki kiwingu kinachonizuia kuona hayo mafanikio chini ya Yusufu Makamba!
 
Niwashangaa wanaofikiria ccm kuokoka! Wote wameoza na hakuna wa kumwokoa mwenzake!
 
Maisha ya kawaida ninayosemea ni maisha bila mikutano na operesheni hizi zisizokwisha.
Huu ni mchango wangu kwa ccm na watanzania kwani viongozi kama kina wassira hawakai tena ofisin wamejigeuza makatibu wenezi.tukipata jibu walau la muda mfupi tutawasaidia watanzania kwani kina wassira watarudi ofisin kufanya kazi badala ya kuzunguka kama mashetani wanaotafuta mtu wamwingie
 
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.

Makamba alikuwa anaongoza chama kwa nguvu za Sheikh Yahya. Yahya ametangulia kuwapokea the gambaz.
Makamba amefungua biashara yake anafuga kuku sikuhizi.
 
Seif Al A Islam umepata jibu kwa nini wanawake hufumba macho wakati wa majamboz? Ka umepata ndo leta uzi mwingine
 
makamba anajichana pensheni bumbuli muacheni aiENJOY...ameamua kuwaachia jahaz nyie si mlijifanya wajuaji
 
Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.
Nyie ni maswahiba ehh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom