Mwaka 1982
Nakumbuka nikiwa mdogo Baba aliumwa tukampeleka kituo cha afya Bunazi akalazwa lakini asubuhi madakitari wakasema huyu ni wakupelekwa Hosptali ya Mkoa ikachukuliwa Ambulance na...
Wote ni mashahidi wa jinsi viongozi wetu wanavyotumia double standards na ‘kids gloves' katika kushughulikia mambo mengi yanayoihusu Zanzibar.
Iko mifano mingi, lakini kwa hivi...
Wana jf binafsi namu admire sana JJ MNYIKA ktk field ya siasa kutokana na umahiri wake katika kuchambua hoja!
Je,ww mwana jf ni mwanasiasa gani ambaye ni role model wako?
Je fikra zile zile zilizokifikisha CCM kwenye asilimia 61 zilizotangazwa na TUME (toka 81% za 2005) bado zinaweza kukiwezesha kushinda mwaka 2015? CCM kinahitaji fikra mbadala ili kiishi au fikra...
Kwa sasa hivi viongozi wa CCM na Nape wanajaribu kuandaa mikutano kujibu hoja za chama makini CHADEMA,hapa tunapashwa kujiuliza kwa CCM mikutano na maandama hayo ya nini?!
CHADEMA kinaanda...
NA SHARON SAUWA
5th June 2012
Wasira naye awashukia
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wasira
Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imewaonya baadhi ya...
Jana katika viwanja vya Madeko Ndanda, Lema alimwaga sumu ya M4C,magamba si chini ya 25 walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya misheni ya Ndanda na kuchukua kadi ya...
Tanzania hii inashangaza sana.
Yaani duniani ni ya 16 kwa kuzalisha dhahabu na africa ni ya 4 lakini ni ya 3 duniani na ya 1 Africa kwa kuombaomba.
Hii inanishangaza sana. Kuna mwenye sababu...
Afrika imeshuhudia maajabu.
Waliokuwa marais wa Nchi mbili tofauti Bw HOSNI MUBARA wa Misri na Bw CHARLES TAYLOR wa Liberia kutumikia vifungo vya maisha kwa makosa ya mauaji...
Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa...
Kamati ya Nishati na madini imekataa taarifa ya wizara ya Nishati na madini juu ya ulipaji wa fedha ya udanganyifu iliyofanywa na kampuni ya PAN Afriacan eti lilipwe baadae na kidogo kidogo...
Watanzania katika bajeti hii ya 15 trillion, lazima ichunguzwe vizuri, the only way to recover from the hyper inflation, na to avoid kuwa kama nchi ya Ugiriki iliyofilisika, ni kupunguza matumizi...
Chama cha chadema ni chama kinachokubalika sana mbele ya watanzania, nitashangaa kama kutakuwa na kijana wa leo ambaye atakuwa anakishabikia chama fulan hivi kinachotawala sasa hivi hapa tanzania...
Jana niliishiwa nguvu kidogo baada ya kugundua kuwa bajeti iliyopita ya wizara ya uchukuzi utekelezaji wake haufiki ata 50% kwa mujibu wa kamati ya bunge.
Sasa najiuliza fedha ambazo zilizotengwa...
Wanabodi katika hali ya kuendeleza siasa za maji taka kama siyo kutapata kwa ccm katika kampeni za jimbo la arumeru mashariki ccm wagawa nakala za gazeti la SAUTI HURU ambalo linatoka kwa wiki...
BY DEVOTA MWACHANG`A
5th June 2012
Renatus Muabhi
The Central Committee of Chama Cha Kijamii (CCK) has removed Renatus Muabhi from his post as secretary general due to several reasons...
Mimi mara zote nasema Lema ni mpiganaji wa kweli...mpaka mkuu wa kaya anamgwaya pamoja na maneno makali alyopewa,,ni chungu lakini amemeza...hakuna ikulu,wala polisi aliyetia neno...
Kweli wewe...
NA MUHIBU SAID
5th June 2012
Naibu Spika wa Bunge wa zamani, Mathias Michael Kihaule, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa.
Kwa...
Nimekuwa nikifatilia kwa makini mienendo na harakati za Dr slaa toka baada ya uchaguzi wa 2010 mpaka leo ktk M4C inayoendelea huko kusini, Ukweli Dr slaa ameonekana akiwa mwiba sana kwa CCM na...