Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chaguzi za serikali za mitaa zinategemea kufanyika nchi nzima mnamo tarehe 26/6/2012.Hii inatokana na serikali kugawa mitaa mipya ambayo hapo nyuma haikuwepo,lengo kuu ni kufikisha huduma za jamii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 By Zitto Kabwe TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 06.06.2012 YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamani yani toka makamanda wameikamata Lindi na Mtwara nalalaje usingizi mnono naona jinsi ukombozi unavyozidi kukaribia wamemfanya NEPI akimbie kiyoyozi Lumumba fulu AC lakini jasho linamtoka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania yangu huwa haiishiwi vituko. Baada ya ukarabati na ujenzi wa nyumba kubwa na ya kisasa zaidi ya kuhifadhia maiti katika nchi za SADDC, sasa tunawapiga bao jirani zetu kwa kuhakikisha kila...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti la mwananchi kichwa habari nchimbi anasema wanaotoa vibali kwa wageni bila kufuata utaratibu ni sawa na shetani. Nashangaa kauli yake kwani kuna wakenya ambao Nahodha akiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam kwenu WanaJF,kabla sijawasilisha ujumbe wangu,Chonde mwenye Namba ya Mbowe au yeyote aliyeambatana nae naomba anitumie.Ni kwamba hali ya Chama Chetu tulichoasisiwa na Wazee wetu Karume na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hapana; wazungu wanasema, "hold on, CCM still alive and kicking". Katika nchi zenye demokrasia, chaguzi zozote zile (ubunge, serikali za mitaa, congress, senate, nk) kipindi cha kati (midterm)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gazeti huwa silielewi kabisa, hebu cheki heading yao ya leo. Hivi kweli kuna ukweli katika haya wanasema au ni uzushi na majungu tu? Picha zote kwa hisani ya Mjengwablog.
0 Reactions
99 Replies
11K Views
GreatThinkers, Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City. Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima. Vuteni...
13 Reactions
111 Replies
11K Views
kwa kuangalia sifa na kiapo cha uanachama wa mwanachama wa ccm (kwa mujibu wa katiba yao), kwa sasa ama hakuna kabisa wanachama wa ccm ama kama wapo ni wachache sana. wenge waliopo ni wa chaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku Tanganyika na Zanzibar Tulipopigana Vita Katika “Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha” (by Minael-Hosanna Mdundo, DUP 1999, pg 28-29), Sheikh Thabit anaelezea vita iliyotokea kati ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia askari wake wa FFU limelazimika kutumia nguvu pamoja na kuwatisha kwa silaha wananchi na waombolezaji wa marehemu, Mgosi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ebu tuvipitie vipindi Tanzania ilivyopitia na kisha tuangalie kama kuna matumaini 2015 MWALIMU NYERERE-Kipindi hiki kilitawaliwa na ujengaji wa misingi na falsafa ya nchi.Hiki kipindi ndicho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kuna baadhi ya watu wanaamini kikwete aliteleza au hakumlenga Godbless Lema kwenye hotuba ya yake ya juzi, kuwa mbunge alievuliwa ubunge na mahakama kwa shinikizo la ikulu kuwa ndiyo chanzo cha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
ndugu zangu wa huku jamvini kumekuwepo na tabia ya rushwa iliyo kithiri katika chombo chetu muhimu sana hapa tanzania,,ambacho ni bunge letu tukufu ambapo vitendo vya rushwa imekuwa kama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Mtwara kumezinduka, Mungu mkubwa hukomboa waja wake kwa wakati wake, miaka mitano iliyopita Watu wa Mtwara walikuwa mbali na ukweli, hawakutaka kuukubali ukweli kwamba wanateseka na maisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu napenda kuonyesha masikitiko yangu toka moyoni kwa uteuzi wa mkuu wa mkoo wa Kilwa hivi karibuni bwan ulega Hamis Abdalla. Hivi JK kweli kwa kigezo cha...
0 Reactions
71 Replies
16K Views
Wakereketwa waliojitokeza wakati msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, ulipokuwa ukipita katika kijiji cha Mlangali, Wilayani Ludewa mkoani Njombe mwishoni mwa wiki, akiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Alipoapishwa na kusogezewa kipaza sauti, Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa alijinasibu kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania na kudhibiti mfumuko wa bei. Yapata mwezi tangu kuapishwa kwake. Wakati wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…