Taarifa kwa Umma: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kwa Umma: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jun 6, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013
  By Zitto Kabwe

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
  06.06.2012

  …………………………….
  Zuberi Kabwe Zitto(Mb)

  Waziri Kivuli-Fedha na Uchumi.
   
 2. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Heko Zitto, bajeti ya serikali imetupilia mbali elimu ya juu. Kama ukishindwa kuweka sekta ya elimu kuwa kipaumbele manake nini? Unatengeneza jamii ya mabumbumbu?. Kwa mfano mwaka 2012/13 serikali ni kama imeondoa udhamini wa wanafunzi elimu ya juu.
   
 3. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh. Zitto hongera kwa vipaumbele vinavyolenga kutukomboa kutoka katika hali hii ngumu ya maisha. Hata hivyo nina maswali machache:

  1. Nasikia Mtwara kulikuwa na reli je, kwanini bajeti yenu haikuigusa hiyo reli
  2. Kushinikiza kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma sio kipaumbele chenu? Hamuoni umuhimu wa hili?
  3. (Wadau) naombeni elimu kidogo ya kitu hiki tozo za development skills. Pia ni kwanini wakatwe watumishi wa serikali na mashirika ya umma tu?


  Vinginevyo vimesimama imara kwa maoni yangu
   
 4. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mods naomba muunganishe hii thread na ile nyingine
   
 5. V

  Vunjavunja Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika nchi yeyote inayopata maendeleo ya kweli ni kuwekeza ktk elimu serikali ya CCM mawazo yao ni mafinyo wamepunguza kipaumbele cha elimu hiyo inaonesha kuwa sasa elimu ya juu itabaki kuwa ya watu walio nacho kakini kwa mtoto wa mkulima hatanufaika na elimu ya juu kwa kuondoa mikopo kwa baadhi shahada, na serikali yetu inaonesha kufurahia matokeo yanayopatikana ya kidato cha IV mungu ibariki serikali ya CCM ili wapate mawazo mazuri ya kufikili.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Zitto atoa taarifa kwenye vyombo vya habari [url="www.zittokabwe.wordpress.com/2012/06/06/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-yah-vipaumbele-vya-kamba-ya-upinzani-kwa-mwaka-wa-fedha-20122013/]"Bonyeza Hapa [/url]
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye red naona umeelewa kinyume chake rudia kusoma vizuri.

  Tatizo la TZ kwa sasa ni matumizi ya serikali ni makubwa ukilinganisha na mapato. Bajeti inatakiwa ilenge kuimarisha uchumi kwa maana ya mapato kuliko matumizi(mshahara kwa wafanyakazi haiwezi kuwa kipa umbele kwa bajeti ya aina hii)
   
 8. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye kodi hadi 9% ni pazuri ila wafanyakazi tusahau serikali yetu iko radhi ipandishe hadi 40% kwa wafanyakazi na kumpunguzia mwekezaji kwa 1%
   
 9. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu kweli sikuwa makini hapo. Ahsante.
   
 10. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Skills and Dev Levy hulipwa na mwajiri na sio mfanyakazi kama ulivyoelewa, na kwa sasa wanalipa private sector tu. mantiki ya sasa ni kuwa kodi hii inasimama kama compensation kwa serikali kutokana na nguvukazi (rasilimali watu) ambayo imeelimishwa na serikali na sasa inatumiwa na private sector
  Hii inakokotolewa kutoka kwenye total gross salary ambayo mwajiri analipa wafanyakazi wake na mfanyakazi halipi chochote kwenye hii.
  Hoja ya upinzani ni kuwa sasa mashirika ya umma na taasisi za serikali walipe kwa kuwa nao wanatumia nguvu kazi hiyo, lakini pia itasaidia kuongeza wigo wa walipa kodi ya aina hii ambao sasa ni wachache (private sector only) na kiwango wanacholipa ni kikubwa, kipunguzwe
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kima cha chini, hakijazunumziwa lakini nadhani lazima kiangaliwe upya. na kwa mawazo yangu, ili kupata kima cha chini, wenye salary ya 1,500,000/ kama basiki, waipandishiwe mshahara wao, bali pesa itakayopatikana utumike kupandisha mishara ya hawa watumishi wanaolipwa 80,000/- mishahara ya serikali hadi wale wanaolipwa chini ya 1,500,000/-
   
 12. D

  Don The Great Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Vipaumbele vya sasa viko sawa,
  1. Ila bado nasisitiza kodi kwenye mafuta(Diesel,Petrol na Mafuta ya Taa) waendelee kupigania ipunguzwe, maana sijaona nafuu ya huu uwagiziaji wa mafuta kwa pamoja imetusaidia nini sisi wananchi kwasababu hata dola imestabilize for a while now(Na kiwango cha ushujaji wa bei za mafuta kila mwezi na EWURA sasa hivi ni mdogo).

  2. Na kwa upande wa kuamsha hizo reli zilizokuwa zimetelekezwa,nadhani hilo ile first priority kwa wizara ya uchukuzi,maana hata cost za usafirishaji wa bidhaa kwa kutumia reli zidakuwa chini na zitamnufaisha mwananchi kwa kweli.Na ziwekewe ulinzi wa kutosha kuepusha hujuma za kung'oa mataruma.
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Believe me Serikali ya CCM ikikubali kufuta SITTING ALLOWANCE zote katika mfumo wake itaokoa pesa nyingi na kupunguza matumizi ya serikali.

  Zitto vipi kuhusu UNUNUZI wa MASHANGINGI kwa viongozi wa serikali. Hili nalo ni eneo ambalo serikali ingeweza kupunguza matumizi yake kwa kiwango kikubwa. Mbona wenzetu Kenya tena wenye uchumi mzuri kuliko sisi wameweza?!.

  Lakini haya yote ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. The government of JK/CCM is ADDICTED IN SPENDING hakuna hata atakaye kusikiliza when it comes to serikali kubana matumizi.
   
 14. m

  msolopa ganzi Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  yeah ni kweli kuna haja ya kufufua njia ya reli ya tanga,moshi mpaka arusha pamoja na kukarabati reli ya kati itasaidia sana barabara zetu ziweze kudumu,na kuboresha uchumi wetu kwa kasi.
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nafikiri pia PAYE inatakiwa kuangaliwa upya maana ndio inamaliza mishahara ya wafanyakazi, ni kubwa mno hii kitu
   
 16. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hapa nimekamatwa sana na pendekezo la kufufua reli ya kaskazini. We shall fight for it. Maendeleo huja kwa kuwa na miundombinu bora.
   
 17. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante mkuu ndio raha ya JF kuelimishana. Sikuwa na uelewa na iko kitu. Sasa tupo pamoja
   
 18. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Zitto naomba ufafanuzi budget ya 2011/2012 serikali ilipanga kutumia 13 tirillion. Lakini wote ni mashuhuda miradi mingi ya maendeleo imekwama kutokana na serikali kutokuwa na pesa. Je ktk budget ya 2011/2012 serikali iliweza kukusanya/ku-raise pesa kiasi gani? Je kulikuwa na deficit ya SH ngapi katika sh 13 trillion? Kama 2011/2012 tulishindwa ku raise 13 trillion. Je ni miujiza gani ambayo serikali imepata ya kuweza kukusanya/ku-raise 15 trillion ktk budget ya 2012/2013? Mimi sioni mantiki ya kupanga budget ya 15 trillion wakati tulishindwa kupata 13 trillion kwenye budget iliyopita.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mimi naomba mambo makuu 2 tu muangalie kwa makini jamani

  1. Miundombinu, Reli ya kati, TAZARA , barabara , bandari (DSM, Mtwara na Tanga)
  Napendekeza serikali itoe incentives kwa watu watakaoshusha mizigo Tanga na Mtwara wapate unafuu mkubwa ili purukushani zipungue DSM mwisho wake tuwe na bandari 3 zinazofanyakazi sawa sawa.

  Reli ya Kati atafutwe mwekezaji mwenye uwezo mkubwa apewe, na hii TAZARA iangaliwe mapema kabla haijafikia kama ile ya kati. Barabara za kuunganisha mikoa ya kusini zimaliziwe.

  2. Kilimo ( training kwa wakulima wadogo, pembejeo, mbolea,maeneo,nk)

  Ninahakika angalau tuki accomplish haya mawili 2012/2013 basi ifikapo 2015 nchi itakuwa na unafuu angalau na hata mfumuko wa bei utapungua.
   
 20. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  ZITTO INGEPENDEZA PIA KAMA UNGEELEZA KWA KIFUPI UCHAMBUZI WA MAFANIKIO AU KUSHINDWA KWA BUDGET YA CCM 2011/2012 Maana hii wao waliishabikia mno kama mkombozi wao ili na sisi tuweze kutoa maoni
   
Loading...