Nahisi harufu ya kuwa Mpinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi harufu ya kuwa Mpinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Jun 6, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Salaam kwenu WanaJF,kabla sijawasilisha ujumbe wangu,Chonde mwenye Namba ya Mbowe au yeyote aliyeambatana nae naomba anitumie.Ni kwamba hali ya Chama Chetu tulichoasisiwa na Wazee wetu Karume na Nyerere ni mbaya.Namtafuta Mbowe na Timu yake nimwombe apunguze ukali ya maneno,kiukweli wanatuchana live bila taulo.Chama changu,kimepoteza mvuto,Mwl Nyerere uko wapi?Ooh Baba Karume,tusaidieni.Nahisi kuitwa Mpinzani.Ooh na umaarufu wangu wote utapotea,Wazalendo wenzangu wa CCM,Nahisi giza mbele.Tuchukue hatua gani madhubuti?
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  utajibeba!!!!!!!mmetuchosaha na mabo yenu.shida yenu mnagawana sana mali ya uma.
   
 3. m

  mabhuimerafulu Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Afadhali wewe, mimi nahisi harufu ya uasi!
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Put your words into action acheni kutuletea comedy hapa tunakomboa nchi hatutaki jokes!!!
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha! Hata wale wachache, tena vijana, waliodhaniwa angalau kubakiwa na busara kidogo wanazidi kuvurunda. Nasikia yupo mmoja naye anazunguka huko na huko akisaidia kumwaga sera za chama chake lakini badala yake anaishia kutusi watu akidhani anakinusuru chama.

  Maandishi tayari yapo ukutani, mwenye busara na ayasome na kutafakari mwenyewe wala hapahitajiki waganga wala wanajimu wala wasoma nyota wala washihiri wala waaguzi wala majini bali akili ya kawaida.
   
 6. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata Mzazi akizeeka huomba ushauri kwa mwanae hata mjukuu,seriously hatutaki comedy.
   
 7. t

  tara Senior Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unahisi giza...... hamia cdm ,vaa gwanda utapewa tochi.
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  hii ni kweli muda wa utani hatuna huku.
   
 9. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  pole thana
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  unaleta maigizo katikati ya vita
   
 11. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ungekua unataka kuwasilana nao uhamie chadema sawa..lakini kumbe unataka tu kuwapotezea muda makamanda wetu kwa kuwaambia wapunguze ukali wa maneno.
  "vua ukada uvae UKAMANDA"
   
 12. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hifi kira mtu ni rasima awe Chadema,ni kweri hakuna mcheso kwenye fita,kuna tatiso nikijadiri namna nitakafyokufa.Arafu inaonekana una akiri kuriko wengine.
   
 13. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We kweli umenishauri vema,sioni tatizo kuhamia ila kinachonisikitisha ni namna chama cha zamani kinavyoangamia,wengi wananishambuliaa kama nimeandika kwa nia mbaya,ujue bila CCM,CHADEMA si maarufu.
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mapambambano yana endelea mpaka kieleweke.
   
 15. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mlishakula sana, sasa nafasi kwa wengine! Au hamieni huku tuliko sisi ili tuongeze nguvu.
   
Loading...