Ofisi ya CHADEMA - Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya CHADEMA - Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matope, Nov 29, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Naombeni mnijuze niko mafia hapa kwa mapumziko mafupi nimezunguka mafia yote sijaona ofisi ya Chadema

  Mnampango gani wa kuwa na ofisi huku au zenu ni Mjini tu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuzunguka tu haitoshi, ilitakiwa uulize wenyeji!
   
 3. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Uliza wenyeji ndugu
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Yaani badala ya kupumuzika unazunguka mafia nzima kutafuta ofisi za chadema?!Wewe si mtu mwema huenda umetumwa kuzipulizia POLIUM-210 inayomtesa Dr.Mwakyembe maana hata hujasema ni ofisi za vyama vipi ulizoziona tofauti na za chadema.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu hilo ni jukumu mojawapo zuri la kuwatangazia habari njema kama hakuna ofisi. Tafuta mtu mwenye kuweza kupeperusha bendera ya CDM, beba namba ya simu yake ili ukirudi mjini uwasilishe maombi rasmi, ikiwezekana mtu yule apewe kadi, bendera na vitendea kazi za chama. Utakuwa umetengeneza historia isiyofutika mapema mkuu kuwa uliwaamsha wanamafia kwa kiasi fulani.
  Ni maoni yangu!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  careless whispers
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  si kila kitu ni-comment. napita.
   
 8. Kisiya Jr.

  Kisiya Jr. Senior Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  changes begins wth u,najua pwani CDM haina matawi sehem nyng,ila fanya mpango wa kuwasilisha hilo ngaz ya taifa ili makamanda waende wakafungue,naamini chadema inakubalika pia hko. Thank kwa kuliona hlo na kutoa taarifa,wenye busara zao tumelipokea km ni changamoto ya kufanyia kazi.
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unataka ukaombeombe kwenye hizo ofisi

  [​IMG]
   
 10. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nimeshangazwa na taarifa kuwa mwenyekiti wa selikali ya mtaa hapa Ungindoni ni chadema lakini kachaguliwa kwa sababu ya ccm na Cuf walisimamisha watu wasiokubalika na wanaJamii wa hapa
   
 11. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mzee huyu!!! mbona anakinyatia chakula, sanaa sana huyu
   
 12. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Angalia hapo chini nyuma ya ile hoteli upande wa kushoto...Kuna barabara inashuka karibu na huo msikiti hapo..ukikata kuna utaona Bar mahali wanakausha samaki kwa kulia kwake kuna maduka maduka mengii pembeni yake kama unaelekea baharini unakata kona kushoto utaona ofisi...!Fanya fasta..!
   
 13. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katumwa na magamba akangalie coverage ya CDM
   
 14. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  'We have our head Office in Dar Es Esalaam but still we work there as well,:yield:
   
 15. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We sema vizuri bana umeenda kupumzika au umetumwa kuchunguza?
   
 16. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:peace:
   
 17. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sasa Maelekezo gani unayonipa mkuu?we kama unataka kumsaidia mtu mwelekeze vizuri

  Hiki chama cha chadema ndiyo kinakufa kutokana na kutokuwa na watu makini
   
 18. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mabadiliko ni kumbadilisha Mbunge wetu mh Bulj baada ya kushindwa kukitumikia kisiwa chetu kama alivyoahidi.
  Lakini kuikaribisha CHADEMA katika kisiwa chetu ni kukaribisha janga jengine la Kimaendeleo.
  Kitakuwa kama ngazi ya kufikia malengo yao ya Kuindeleza Arusha na MOSHI.
   
 19. m

  mamajack JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kimwili unaweza jiona hujambo,ila kiakiri na fikra umeathilika balaaaaa.kaa na kisiwa chako ivoivo,then uone mambo.
   
 20. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waambie waliokutuma wamechelewa huwezi kuzuia upepo kwa mikono CDM ni kama tsunami.
   
Loading...