Chonde chonde m4c ikitoka kusini iwe zamu ya moro na tanga

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,196
486
Jamani yani toka makamanda wameikamata Lindi na Mtwara nalalaje usingizi mnono naona jinsi ukombozi unavyozidi kukaribia wamemfanya NEPI akimbie kiyoyozi Lumumba fulu AC lakini jasho linamtoka.

Naomba makamanda waanze kupanga mikakati ya kuiteka TANGA na MOROGORO yani tuvamie Kilosa,Kilembero,Mvomero, Kilindi, Muheza, Korogwe,Lushoto,Bumbuli uko kote WATANGANYIKA wenzetu wanawasubiri makamanda.

PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSS.
 
Ingependeza kama Tanga na Pemba wangeachiwa CUF ili kudumisha "udugu" uliowahi kuwepo kati ya vyama hivi viwili. Lakini maeneo mengine yote M4C ifanye kazi yake bila ajizi wala huruma.
 
wananchi walijitokeza kwa wingi kuangalia magari ya ghorofa walikuwa hawajapata kuyaona pia.
 
Morogoro powa lakini Tanga sijui maana wagumu sana hawa jamaa hawaeliwi nini maana ya mabadiliko! Ukiwauliza watakujibu Tihaha kwa jeuri ya CCM!
 
Back
Top Bottom