CHADEMA yazindua Mtwara kweli kweli

akide

Member
Jun 5, 2012
11
1
Jamani Mtwara kumezinduka,

Mungu mkubwa hukomboa waja wake kwa wakati wake, miaka mitano iliyopita Watu wa Mtwara walikuwa mbali na ukweli, hawakutaka kuukubali ukweli kwamba wanateseka na maisha ya sasa, watch out in 2015.
 
kweli kazi ilifanyika kama ilivyokusudiwa, Mungu wetu sote na anatupenda sote ndo mana kawaonesha nuru watu wa mtwara. Peoplessssssssssss
 
Nuru ni CHADEMA? Phew! Hata siku moja wamakonde hawewezi kununuliwa na wachagga!
 
Huku ni kufirisika sera! Nyerere alikuwa sahihi. Watu badala ya kuongelea sera , mwingine anangalia ukabila ktka karne ya 21 kweli???
 
Back
Top Bottom