Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Jun 6, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Gazeti huwa silielewi kabisa, hebu cheki heading yao ya leo.

  SAM_2232.JPG

  SAM_2233.JPG

  Hivi kweli kuna ukweli katika haya wanasema au ni uzushi na majungu tu?

  Picha zote kwa hisani ya Mjengwablog.
   
 2. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Gazeti la mwaka gani hlo?
   
 3. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Linamilikiwa na nani hili gazeti ? ni la mkorokocho au newz. mi naona kama la makorokocho vile.
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Habari kama hii ni lazima itakuwa ya uongo, mambo ya asili na academia yapo kwenye vilabu vya mpira wa miguu na mabendi.
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Al Nuur limepata mpinzani
   
 6. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni njama ya kuwaweka wananchi njia panda
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kweli kuna haja ya ile chadema asili iliyokuwepo enzi za uchaguzi 1995. hapo namkumbuka enzi hizo Dr Kabour alikuwa tishio kubwa pale kwetu Kg alikuwa president. kweli zitto irudisheni ile
   
 8. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Litakufa kifo cha mende na haitakuwa hivyo kama linapata ruzuku ya Serikali
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Niliacha kuyaamini magazeti haya siku nyingi, ni baada ya kuona habari ya mtu wangu wa karibu wakimchafua na kuweka vielelezo vya uongo...
   
 10. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni magazeti ya makada wa ccm kama Seif Khatibu na wahariri ni kama Charles Charles msaidizi wa January Makamba.Hayo ni magazeti ya kuchafua na kuharibu tu lakini watashindwa. CDM ina watu na MUNGU, ccm ina majambazi na shwetani.
   
 11. m

  mabhuimerafulu Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Linamilikiwa na Subash Patel pale MM Integrated, Kijitonyama. Subash wa kashfa ya Chavda, rafiki na Jeetu Patel wa EPA. Jamaa anazo kwelikweli. Alitajwa na Mzee Mengi kuwa kati ya mapapa wa ufisadi.

  Ni yule aliyeshirikiana na Lowassa wakauziana jengo la Umoja wa Vijana wa magamba Nape hakuona ngawira zilipitia wapi, ndo akaanza fujo UV magamba mpaka akakosana na rafiki wa marehemu baba yake Mzee Makamba! Kumbukeni msiba wa marehemu mzee Moses Nnauye ulikuwa kwa Makamba jijini.

  Ndiye mwenye maghorofa yale mawili pale UV Magamba. Ana kampuni inaitwa Estim inapata tenda nyingi sana serikalini. Inamjengea nyumba mtu mmoja pale magogoni. Ni mwenyekiti wa Mfuko wa maendeleo ya Bagamoyo! nk..nk..nk..nk..kila palipo na pesa kwenye serikali ya magamba, Subash yupo.

  Hilo gazeti lilianzishwa kupambana na Mengi, lilipomaliza kazi hiyo ya kumchafua Mengi, likaanza kazi ya kuwafurahisha magamba. Kila siku lina habari za CDM, ni la propaganda kuliko hata Uhuru na Mzalendo.

  Mhariri wake aliwahi kukamatwa na rushwa mara kadhaa....
   
 12. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  HAHAHAHAH hilo arusha halifiki hilo na halitanunuliwa hata likifika gazeti la akina NAPE HILO
   
 13. Alonick Antony

  Alonick Antony Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba watajibeba safari hii!
   
 14. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  jarida lao
   
 15. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa kweli ccm wanasumbuka hadi nawaonea huruma mbali na kwamba siwapendi
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,619
  Trophy Points: 280
  mwandishi anakunywa valua
   
 17. b

  benny50 Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamwe hatutoweza kuchanganywa kwa diaini hiyo..tafuteni njia nyingine , nia na dhamira ya chademA IKO PALE PALE..KUCHUKUA DOLA TU IFIKAPO MWAKA 2015
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::painkiller:
   
 19. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Toleo la 102 June 6 hadi 12 June 2012. Watchout CHADEMA isipokuwa makini M4C inakuwa useless.
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hili ni gazeti la ChiChieM. Mwandishi angeaminika, walau kidogo, asingeongeza kikolezo cha CHADEMA chanunua kadi 3,000 za CCM. Naungana na msemaji aliyesema mwandishi anakunywa "Valeur".
   
Loading...