Rushwa bungeni ni zaidi ya uhaini....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa bungeni ni zaidi ya uhaini.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olaigwanani lang, Jun 6, 2012.

 1. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [​IMG]ndugu zangu wa huku jamvini kumekuwepo na tabia ya rushwa iliyo kithiri katika chombo chetu muhimu sana hapa tanzania,,ambacho ni bunge letu tukufu ambapo vitendo vya rushwa imekuwa kama ni jadi(kawaida)...tukumbuke tukio la kuteuliwa wawakilishi wa jumuiya ya africa mashariki rushwa ilitawala huku kukiwa hakuna hata dalili ya kukemea hali hii na viongozi wa bunge.....hata kwenye chaguzi zetu ukifatilia karibu asilimia 70% wameingia bungeni kifisadi na muda mfupi hugeuka kuitwa waheshimiwa.....
  wenzangu ebu nipeni mawazo yenu kuhusiana na hali hii ambayo kwa kweli sijui mwisho wake utakuwa lini kwani inaonekana kuzoeleka sasa.......
   
Loading...