Nchimbi kweli kama unahasira na wahamiaji haramu anza na wakenya walioletwa kwako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchimbi kweli kama unahasira na wahamiaji haramu anza na wakenya walioletwa kwako.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Jun 6, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Nimesoma gazeti la mwananchi kichwa habari nchimbi anasema wanaotoa vibali kwa wageni bila kufuata utaratibu ni sawa na shetani.

  Nashangaa kauli yake kwani kuna wakenya ambao Nahodha akiwa waziri wa mambo ya ndani aliagiza wachukuliwe hatua kali baada ya kuchunguzwa na kukutwa sio raia halali wa Tanzania kwani sehemu zote wanazo sema wamezaliwa wamewakana hawatambui.

  Cha kushangaza mtoto wa mzindakaya wakike anaefanyakazi uhamiaji amewapeleka kwa Nchimbi nakumdanganya wakenya hao wanapigwa vita kwa sababu za kibiashara wakati kuna ushaidi wakukutwa na pass mbili moja ya tanzania na nyingine ya kenya.Na tarehe 2/6/2012 amesafiri kwenda uingereza kupeleka madini kwa pass ya kenya.

  Isitoshe kuna tetesi wamepelekwa mpka kwa waziri mkuu kwa madai wanaonewa wao ni wazaliwa wa kahe toloha wakati sio kweli ni wazaliwa wa UNDALI TAVETA KENYA.

  NCHIMBI mapenzi na mtoto wa Mzindakaya pembeni nchi kwanza pamoja na ahadi ulizopewa na Wakenya,
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa Mzindakaya jinsia gani. Nchimbi,lihengu ngati ukiti,kiti bwina!
   
 3. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kweli upwaghiti ndongu wangu!
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  kweli mwana wa mzindakaya aliwaingiza chaka .Hizo kwenye red ni sehemu mbili tofauti. Toloha ipo mpakani mwa kenya na Tanzania wilaya ya mwanga na Kahe ipo Moshi V. vitambulisho vya raia na vije tu sijui hawa mabazazi watakula wapi
   
Loading...