Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NDUGU zetu Wakiristo wanapofanya ibada za kuzika wafu, huwa wana msemo mmoja usemao, “ulitoka kwa udongo, utarudi tena kuwa udongo, udongo kwa udongo, na Mungu atakufufua siku ya mwisho”...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi wa Sweeden nchini Tanzania bwana Jennerth Hjelmaker, alipofika Ofisini kwake Migombani kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
You will obviously agree with me that January is very exceptional in his online engagements. The way he posts, interacts and brings feedback puts him at an edge against the rest. See one of his...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012 Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais Mstaafu anaamini watanzania wana raha sana, kwamba raha waliyonayo watanzania ni nyingi kupita kiasi, anasema sasa ni kama wamevimbia ndio maana wanaongeaongea sana. Source: TBC Habari...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
“Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA)… nao wana matatizo katika uongozi,” alisema Wassira na kuongeza...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
***VIPAUMBELE KATIKA BAJETI YA KAMBI YA UPINZANIA Katika Bajeti Mbadala ya 2012/2013*** 1. Kuendelea kushinikiza kupunguzwa kwa misamaha ya kodi mpaka 1% ya Pato la Taifa. Hivi sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAPE:ARDHI IKIMILIKIWA NA WATU BINAFSI WANYONGE WATATAABIKA Ataka umiliki ardhi uendelee kuwa chini ya serikali Asema wanapiga hilo ni mabepari Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita. Taarifa...
11 Reactions
145 Replies
12K Views
Zao la pamba lililokuwa linategemewa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa, liko hatarini kutolimwa kabisa kutokana na serikali kuonekana haiwathamini wakulima wa zao hilo na kuwakumbatia wanunuzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwepo na hali ya sintofahamu hapa mkoani Iringa katika wilaya ya Iringa vijijini eneo la kijiji cha MGAMA,ambapo wananchi na walimu wa eneo hilo wamekuwa katika hali ngumu inayohusiana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Napenda kujua kama kuna tawi la chadema uingereza na kama lipo nipate mawasiliano.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Kumekuwa na wimbi la mawaziri na viongozi wa taasisi mbali mbali nchini kufanya maamuzi ya kukurupuka kwa lengo la kutaka kujipatia umaarufu na kujihakikishia nafasi za uongozi. Kila tasisi na...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian". While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also...
1 Reactions
292 Replies
27K Views
Wakuu nimeikuta hii kule Mjengwablog, eti Ridhiwani amebariki usalama wa taifa na TAKUKURU wamchunguze. Swali ni kuwa kumbe huyu asipotaka kuchunguzwa haiwezekani kwani ni mpaka atoe ruhusa? Kwa...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kucheleweshwa vitabu vya bajeti: Kigwangalla Agomea Kujadili Bajeti Kwny Kamati! : Dr. Hamisi Kigwangalla's Round Table Kucheleweshwa vitabu vya bajeti: Kigwangalla Agomea Kujadili Bajeti Ngazi ya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Salaam kwenu wanabodi! Ni haki yangu naitumia kuweka hapa kwenu great thinkers fikra niionayo juu ya Tanzania baada ya 2015. Binafsi kwa mamlaka ya ujuzi niliopata kwenye falsafa za Karl Max...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…