Naomba hapa tuwe wakweli. Hivi CUF na CHADEMA kipi chama bora na imara.
1. Chenye sera nzuri
2. Kilicho realistic
3.Kinaweza kuongoza nchi
Tafadhari naomba kila anayechangia atoe sababu. Sio...
Jana tarehe 9 kamanda Wenje kamchana Majaliwa wa magamba kuwa ni bubu na hashughulikii kero za watu wake zaidi ya kulipuka pamba bungeni, kifupi nilikuwepo kwenye mkutano CHADEMA walipokelewa...
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikisikia namna watanzania wanavyohujumiwa na shirika lao la umma, Tanesco. Leo yamenikuta. Baada ya kulipia gharama zote za kuunganishiwa huduma ya umeme kwa zaidi...
NEWS
The Chinese were prepared to complete the building in nine months..."
According to a source. By JOSEPH MWAMUNYANGE
Posted Saturday, June 9 2012 at 13:29
Tanzania stands to lose the...
Posted on June 10, 2012 by zanzibaryetu
Nobody in his right mind would condone the torching of churches and shops in Zanzibar last weekend. But it is a great shame that so many, including some...
Labda mie mzembe, na uzembe huu umechukua sura mpya hasa kukengeuka katikati ya mambo makuu yanayohitaji umakini mkubwa!
Niliambiwa na kuona kwa macho mabango mengi kila pembe ya jiji la...
".....Ikiwa watu wa Zanzibar bila ya kuingiliwa na watu wa nje na ikiwa wana sababu zao ,wakaamua kuwa Muungano umekua kero kwao kwa maisha yao na kwamba hauna maslahi na wao ,sitowalazimisha...
Wakuu.
Ule moto wa kujibu papo kwa papo wa kurugenzi ya mawasiliano ikulu umeishia wapi kwenye tuhuma alizomwaga Lema kujibu hotuba ya mkuu wa kaya?
Kama kuna mwenye taarifa atujuze maana...
Mh. Membe amezungumza maneno ambayo hayapendwi kusikika yakitamkwa na kiongozi ambaye mwenye dhamana kama ya Membe kwa wat wa CCM.Hii inatokana na kuwa wao wanafikiri watatawala milele na...
Mzee RASHIDI MAKANI...(R.I.P)
NI PIGO PIA KWA MCHEZO WA SOKA
Akiwa kijana na mwanafunzi wa tabora school alionyesha kipawa cha hali ya juu kwa kucheza mpira...
1.
2.
3.
4.
1. Hii ni picha inayoonyesha kadi za cdm zilizorudishwa jangwani leo huku nyingi zikiwa hazina picha na bado mpya.
2. Moja ya kadi ya cdm iliyorudishwa leo jangwani huku...
Wakuu Salaam;
Siku ndio hivyo zimewadia na kile kikao muhimu cha kuijadili nchi yetu Tanganyika kinaanza kesho kutwa (12/06/2012) huko Bungeni ambapo bajeti kuu ya nchi na mambo mengine...
Taarifa nilizozipata ni kuanzishwa kwa chama kipya cha nguvu ya Umma ambapo inasadikika viongozi wake ni mbunge aliyetimuliwa kutoka NCCR mh. kafulila. maana ya kukiita nguvu ya umma ni kwasababu...
Naomba nichukue nafasi hii kuwaarifu viongozi wetu wote wa chama ndani ya Dar na nje ya Dar es salaam kushusha bendera nusu mlingoti kufuatia kifo cha Mkt mstaafu Bob Makani, Kwataarifa zaidi...
Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na...
Mambo ya kujikweza CCM yalianza zamani! Kumbuka hizi PhD za miezi 6! Dr Lawrence Gama, Dr Kiwanuka, Dr Salmin Amour, Dr Nagu, Dr Nchimbi, na hata nk.were hayuko nyuma Dr Jakaya.