M4C: Wenje amchana mbunge Majaliwa nyumbani kwake Mnacho Ruangwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C: Wenje amchana mbunge Majaliwa nyumbani kwake Mnacho Ruangwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ukana Shilungo, Jun 10, 2012.

 1. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Jana tarehe 9 kamanda Wenje kamchana Majaliwa wa magamba kuwa ni bubu na hashughulikii kero za watu wake zaidi ya kulipuka pamba bungeni, kifupi nilikuwepo kwenye mkutano CHADEMA walipokelewa vema.

  Aliwaelimisha wakazi wa Mnacho kutokumbatia chama tawala kwani kimeshindwa kuboresha maisha yao kama vile maji umeme na suala zima la korosho kwa mikoa ya kusini.

  Wenje alikiri wazi kuwa hawafahamu wabunge wa CCM wa Lindi na Mtwara zaidi ya Majaliwa kwa sifa yake ya kulipuka pamba kuliko kuwasemea wanainchi na Mkuchika kwa vile ni mbunge babu bungeni. Aliwataka wanainchi kutokubali kurubuniwa kwa khanga, tshirt kutoka kwa magamba na kuuza uhuru wao.

  Alisema nchi ni tajiri lakini imekuwa ombaomba nje ya nchi. Alimfananisha rais Kikwete na ombaomba Matonya, ila tofauti ni kwamba Kikwete ni ombaomba wa kimataifa na Matonya ni ombaomba wa ndani.

  Mpaka naondoka kutoka mnacho wenje alikuwa anaendelea kutema cheche nyumbani alipozaliwa Kassimu Majaliwa.
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mia mkuu
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Siwaungi mkono CDM......... Ya Uchagani
  Napenda CCM Mtwara ya wamakonde!!!!!!!
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mashambulizi mwanzo mwisho...pamoja sana chadema
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inapendeza waweke mtandao wa matawi ya kudumu ili kuendeleza elimu ya uraia. Change we beleive in.
   
 6. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana Jembe Wenje ni kweli hao wabunge wa huko kusini hatuwajui.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Mzee wa bahasha huwezi kutuunga mkono kwa kuwa huku hatutoi bahasha kama CCM,
  unaonekana una njaa sana wewe.
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kanyaga twende! hizi ni fimbo za uso kwa ritz,rejao,nipo hapa,mafilili,njiwa na wengineo ambao wameruhusu UKWELI UWE MWIBA KWAO BADALA YA KUUKUBALI ILI WAWE HURU!
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!makamanda wakiwaeleza ukweli inatakiwa wayafanyie kazi,badala yake wanancha kutoa matamko ya kutaka waombwe radhi au kufuta kauli.Hapa ndio huwa nawapenda makamanda wangu wanatoa hoja za akili then wakitoa kitu,kinakua kimepimwa,kimechuchwa,sahihi,na kwa wakati sahihi....mwisho hafuti mtu kauli wala kuomba radhi
   
 10. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  sikiliza we gamba Majaliwa aiandaaa wali na ngoma za asili,ujumbe wake kwao ni wasiwasikilize chadema,hivyo aliwahaidi watu wa Mnacho alipozaliwa atakuja saa 5 mchana ,badala yake akaja karibu na saa moja usiku kwa kuogopa mabango ya wana NYINYIEM wenzake waliochoshwa na kutotimiza ahadi zake,akaamuru mabango yachanwe,na akaingia na giza ule wali ukaliwa na wapishi na ndugu zao,wapiga ngoma wakalipwa elfu 20000 kila kikundi.Kifupi we gamba ujue kuwa watu wanaamka kila kona.
   
 11. U

  Ukana Shilungo JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 910
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  pamoja sasna Ndugu Rhazwe.
   
 12. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Et nccr wana mpa mwezi afute ukweli aonge uongo kumtetea mwenyekiti wao.hivi slaa akipewa ubunge na mkulu itakuaje?eti ata mkosoa boss wake ulionaga wapi?hata wampe myaka miwili asifute kauli yake
   
 13. M

  Mkwanda Senior Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilimshangaa machali siku ile kufananisha uteuzi wa mbatia kua mbunge na uteuzi wa prof baregu kua mjumbe wa tume ya katiba.machali ovyo kwelikweli wewe!nilidhani kukaa kwako jirani na kina wenje,mnyika na mdee pale mjengoni utakua na itikadi za kusimamia haki na ukweli kumbe pumba tu.
   
 14. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kila unaposonga kuelekea kusini ujue una agana na maendeleo,ndiyo maana operation okoa kusini ni muhimu sana kwa wakazi wa huko kutokana na serikali kuwatupa na kuwafanya mashine yao kuwapatia kura za kula.

  Mikoa ya kusini ilishafulia na wafuaji wenyewe waliosababisha ikafulia ndiyo hawa wa magamba,kuna haja gani ya kuwakumbatia na kuwafanya ninyi washamba wa kula pilau.Hapo mwendo mdundo mpaka magamba yote yaishe na wananchi kupewa haki zao kama raia.
   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  tatizo la SOFT BOYS kuchukua uongozi ndo yale yale ya HANDSOME WA MAGOGONI na kuhongwa suti mbili akkachia kempisky ikaenda nyie hamkumuona mwalimu alivyokua jembe enzi zake..alikua analima, anafyatua matofali pamoja na ukuu wakw wa kaya lakini saa izi hawa wenzetu na mimi kazi kulipuka pamba tuu na kweda kubembea marekani
   
 16. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana
   
Loading...