CUF na CHADEMA kipi Chama bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF na CHADEMA kipi Chama bora?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 10, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Naomba hapa tuwe wakweli. Hivi CUF na CHADEMA kipi chama bora na imara.
  1. Chenye sera nzuri
  2. Kilicho realistic
  3.Kinaweza kuongoza nchi

  Tafadhari naomba kila anayechangia atoe sababu. Sio kusema chama fulani bila sababu sawa?
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Loh kwani nilazima kilaunachokifikiria ukiandike humu hata kukąa kimya ni busara pia.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  ofcoz CUF ... hakina ukanda wala ukabila...
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  chadema kina ukanda na ukabila? leta matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la uzini mwezi wa pili. Yalete uyabandike hapa
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  mfu na aliye hai nani ni bora??
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ila udini na majungu eti?
   
 7. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Hapo toa chama kipi bora. Je unaposema mfu nani mfu?
  Chadema mfu? CUF mfu?
  Ukiongelea CHADEMA mfu mbona ina washa moto tanzania Bara?
  Ukiongelea CUF mfu mbona Moto hauzimiki Tanga, Dar, na Visiwani?

  Please nomba isikalili Soma alama za nyakati.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  Duh.. Unaishi sayari gani ati? Yaani kati ya cuf na chadema hujui nani mfu.. Lipumba yuko wapi kwanza watu wameshamsahai zamani .. Seif ndio kabisaa kaolewa na ccm kanyamaza anawafadhili uamsho kimya kimya ili waichukue zanzibar yao.una la kusema tena?
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  hahaha!! issue ya udini chadema si ndio nyumbani ... rejeo tamko la muasisi wa CDM ... na ile kauli ya LEMA arusha kwamba watu wa arusha wawe makini na wanao vaa ma baibui na kujistri kiislam kwani ni alshabab... need to say more! ? hilo bandiko lipo humu JF
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwani cuf inasimama kama chama .... inasimama kama mke wa chama cha jembe na nyundo
   
 11. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Unauhakika na unachosema au unasema sema tu. Je mtu kukaa kimya ndio kafa? Kila chama kina mbinu zake. Na unaposema kuolewa na CCM hivi wewe uko unajua au unahisi. komaza akili mdogo wangu acha ushabiki sawa?
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  heeh! vipi jamani mbona unanilazimisha nijibu unachokitaka wewe???
  Kama una majibu yako kwa nini umeuliza sasa??
  Narudia tena, mfu na aliye hai nani bora???
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,688
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  Sizani kama mleta mada anajua anacho kiandika! Kulinganisha mfu na mtu hai
   
 14. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Mimi ninataka kujua kipi chama bora? na kwann?
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!mimi siitaji hata kumjibu,...kama dunia nzima kwa anaye fatilia hali ya siasa Tanzania anajua nini ni nini,itakuwa kwa huyu?mi ngoja niende zangu kwanza!ntarudi
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,688
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  chama bora ni kile kilicho hai,na matunda yake unaya ona mpaka wananchi walio wengi wana imani nacho. Nakitashika dola 2015.
   
 17. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulinganisha CDM na CUF hajatendea haki wachangiaji hapa jf
   
 18. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini? Hii si ni social forum au ni specitic part?
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kutulinganisha na CUF umetukosea adabu mkuu tena sana PAMOJA NA NENO UBORA kuwa relative term CHADEMA sio chama bora tu bali ni CHAMA BORA NA MAKINI
   
 20. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,201
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Toa maelezo na mifano yake plz...
   
Loading...