ndugu wana jf naomba kwa yeyote alie karibu na mbunge wa mbeya mjini amfikishie ujumbe huu au kama anapitaga humu nashukuru.
kamati ya ulinzi ya jiji la mbeya lina raia wa nchi jilani ambaye ni...
Pamoja na kutumia magari zaidi ya 50 kwenye msafara wake hapa kero za ujio wa mkuu huyu hazikuishia kwa kuwasweka rumande watu walioktaa kutoa mbuzi kama zawadi kwake mengine ni haya :
1...
Habari za asubuhi Mhe Tundu Lissu a.k.a mbunge mmoja sawa na wabunge 50. Baada ya salamu napenda nikupe pole kwa machovu ya kukaa muda mrefu kwenye viti vyekundu kwa ajili ya maslahi ya wananchi...
Hivi inakujaje kujaje, mtu baabda ya kumaliza kipindi chako cha uongozi tena ngazi ya juu kabisa hapa nchini , halafu unakuja kuwa one among the major shareholders wa bank fulani..can you justify...
Mbowe apasua jipu kwenye mazishi ya Makani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaonya wanasiasa wanaopenda kutumia propaganda chafu za udini kwa manufaa...
Katika maswali ninayojiuliza sana ni kuhusu hatma ya Zanzibar hapo 2015 endapo CHADEMA waingia madarakani, maana CHADEMA haina sapoti ya kutosha ZANZIBAR.
Na kulingana na hizi vurugu za...
Nape Ziarani Njombe
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na...
Heshima kwenu wana jf! Nimeamua kuandk hili kutokana na baadhi ya watu kuonekana kukiponda CHADEMA (upinzan) kuwa hawana lolote,wanapinga kila ki2.naomba wanijb haya
1.serikali ya CCM bila...
Baada ya kusikia mbwembwe za mwajiri mkuu jana jioni ndugu wafanyakazi wenzangu mgomo utakuwepo au tuachane nao na tukubaliane na ushauri wa mwajiri mkuu????
Najaribu kuzitafuta za nchi nyingine za afrika mashariki ili tuone ya kwetu inatupeleka mbele kwa kiasi gani tukijilinganisha na majirani zetu.
Ya tanzania inapatikana kwenye link hii...
Utekelezaji wa Kauli mbiu ya vua Gamba, chana Gwanda vaa uzalendo kutikisa Bunge la bajeti ya serikali 2012-13.
Wabunge wazalendo kutoka CCM wataongoza kwa hoja na vitendo katika kujadili na...
Kwanza tuachane na CCM kama CCM ilizaliwa lini, (tudhani /assume imeshika dola toka mwaka wa uhuru na hivyo kuifanya chama tawala kwa miaka 50 ya uhuru wa taifa hili).
CCM kama taasisi na...
Katika pitia pitia yangu nimekuta ivi vitu vitatu kwa bajeti
1.Alisema ushuru wa forodha umepunguzwa kwa vingamuzi kutoka asilimia 25 hadi asilimia sifuri ili kuwezesha mabadiliko katika...
Waasisi wa CHADEMA wanajulikana. Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Mh.Freeman Aikaeli Mbowe,ni juzi tu,amewataja kwa majiana na mahali walipotoka.
Wengine nimewahi kuzungumza nao nyakati tofauti...
waungwana naombeni msaada ili na mimi niweze kutoa mchango wangu kwenye hii bajeti ya ccm.
nijuavyo mimi serikali imeingia madarakani baa da ya kutuomba ridhaa mwaka 2010.maana yake hawa ni...
Kila mwaka serikali imekua ikitoa budget na inakua inapitishwa na bunge. Lakini maranyingi kume kua hakuna utekelezaji .
Nawatu wameenda mbali wakisema budget maranyingi inakua ni yakinataria...
TUCTA,jipange tugome serikali haijamtendea haki mfanyakazi kwani kodi imeongezwa na mshahara unabaki kuwa duni pamoja hali mbaya ya maisha tuliyonayo.Jipange tugome.
Baada tu ya Bajeti 2012/2013 kuwasilishwa Mhe. Rasi JK anaendesha kikao cha baraza la mawaziri. Bado tu wanapewa semina elekezi, hazitosha? wafanye kazi sasa, hizo ni gharama ambazo zinaweza...
Report from the field: Road Construction Underway
By all accounts, road construction to the east of the Serengeti National Park, in the Loliondo area, has been moving ahead faster than...