Hotuba ya bajeti ya Tanzania 2012 - 2013

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093

Attachments

  • 2652f-HOTUBA-YA-BAJETI---2012---13---final.pdf
    224.4 KB · Views: 380
  • 2012 - 2013 Uganda Budget.pdf
    489.8 KB · Views: 158
Asante Mkuu,

Kuna jambo moja lilinikera wakati wa uwasilishaji wa Bajeti ya Serikali 2012-2013 jana. Jambo hilo ni namna wakati fulani waziri wa fedha alipokuwa anakosa umakini ( seriousness ) pindi alipokuwa anasoma bajeti hiyo kwenye vifungu nyeti. Alikuwa anaomba kurudia kuvisoma huku anachekacheka. Jambo hili sikulipenda, kwa kuwa ni mara ya kwanza kuwa bungeni na msamehe, lakini atakapo kuwa anajibu hoja za wabunge tunatarajia awe makini.
 
Mi sikupenda kabisa usomaji wake, either sio msomaji mzuri au hana confidence so nikakosa hamu ya kumsikiliza kabisa nikaona nisubiri nijisomee mwenyewe
 
si ndio amaingia kwenye kundi la wezi na waongo kwa kupewa majukum,yale aliyokuwa akiyasoma yenyewe 95% ni uongo,lazima akose kujiamini.
 
Back
Top Bottom