Hivi inakuwaje baada ya kumaliza kipindi cha uongozi unakuwa shareholder wa bank

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,914
Hivi inakujaje kujaje, mtu baabda ya kumaliza kipindi chako cha uongozi tena ngazi ya juu kabisa hapa nchini , halafu unakuja kuwa one among the major shareholders wa bank fulani..can you justify your means of income during your leadership?? tunapata wasiwasi na uendaji wako kama ulikuwa safi!!! inauma sana..mnazidi kutuibia jamani!!
 
Si uwataje?
 
Mkaliwakitaa ulikuwa umelala sasa ndo umeamka? Au ulikuwa unaomba mwongozo? Weka mambo hadharani ili watu wachambue pumba na mchele, usiwe muoga wa kutoa taarifa ya unachokijua na kukiamini.
 
Ni bahari mbaya sana kwamba hatuna viongozi bali kuna watu wamepata nafasi ya kujijenga kibinafsi kwa kutumia rasilimali za Watanzania. Mbaya zaidi wanapewa 'pipi' halafu wanagawa almasi. Inauma sana.
 
Mkaliwakitaa ulikuwa umelala sasa ndo umeamka? Au ulikuwa unaomba mwongozo? Weka mambo hadharani ili watu wachambue pumba na mchele, usiwe muoga wa kutoa taarifa ya unachokijua na kukiamini.
nimeamka siku nyingi sana..sema uchungu ulikuwa unajikusanya taratibu..naamini kuna wengine kama mimi sio kwamba hawaoni kinachoendelea bali climax ya uvumilivu haijafika na uvumilivu ukiwashinda kama mimi hapata kalika hapa..
 
Hivi inakujaje kujaje, mtu baabda ya kumaliza kipindi chako cha uongozi tena ngazi ya juu kabisa hapa nchini , halafu unakuja kuwa one among the major shareholders wa bank fulani..can you justify your means of income during your leadership?? tunapata wasiwasi na uendaji wako kama ulikuwa safi!!! inauma sana..mnazidi kutuibia jamani!!

Huyo hakuwa kiongozi alikuwa Mwizi... tuu ngoja tukamate nchi wataning'inia lupango labda wakitangulia mbele ya haki.
 
Back
Top Bottom