Tunasubiri kwanza tamko la Mgaya na TUCTA
WanaJF nimesikia tetesi kwamba Mgaya ataitisha Press conf. leo mchana kutoa tamko la TUCTA mwenye more news please
Hilo ndilo wengi wetu tunasubiri. Labda wamkamate kabla ya kusogelea mic. Lazima TUCTA itoe maelekezo kwa wanachama wake. Vinginevyo tutasambaratika kwa aibu kama Ma-Profesa wetu walioshindwa kuhimiri vishindo vya kuku. Shame on them!!
Hamna hotuba isyo enda shule kama ya jana. Hivi wale walikuwa ni wazee wa Dar es salaam au walikuwa wanachama wa CCM?
Hivi ule mgomo wa maprof wa vyuo umeishia wapi?
Tuanze kwa kuboycott wafanyakazi wenye uchungu dress in red every Friday