Mh. Sugu fuatilia hili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Sugu fuatilia hili...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanewi, Jun 15, 2012.

 1. k

  kanewi JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  ndugu wana jf naomba kwa yeyote alie karibu na mbunge wa mbeya mjini amfikishie ujumbe huu au kama anapitaga humu nashukuru.

  kamati ya ulinzi ya jiji la mbeya lina raia wa nchi jilani ambaye ni mjumbe,.analijua hili??

  KWA MUJIBU WA SHERIA NDOGO ZA MJI WA MBEYA WORKSHOP MANAGER WA TAZARA NI MJUMBE WA KAMATI YA ULINZI WA MKOA YAANI JIJI,HAPO AWALI WORKSHOP MANAGER KWA MUJIBU WA TAZARA ACT ILIKUWA NI MTANZANIA ILA KWA MABAVU YA WAZAMBIA WORKSHOP MANAGER NI MZAMBIA AMBAYE ANAINGIA KWENYE KAMATI ZA ULINZI WA MJI MOJA KWA MOJA, NAFASI HII IMEPOKWA NA MANAGING DIRECTOR WA TAZARA AMBAYE KWA MUJIBU WA TAZARA ACT NI MZAMBIA, TUMELIPIGIA KELELE HILI MDA MREFU LKN HAKUNA MAJIBU, SASA ANGALIA SIRI ZA JIJI KAMA SIO NCHI ZINAVYO SAFIRISHWA NCHI JIRANI.

  MIMI NI MTUMISHI WA TAZARA NALILETA HILI MBUNGE WA MBEYA MJINI ALISHUGHULIKIE KWANI WABUNGE WA CCM WAMESHINDWA KWA KUPOKEA MLUNGULA KILA WALIPOLIINGIA.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbona serikali haijasema kama itakusanya kodi kupitia show wanazo fanya wanamziki utaona mlangoni tunatozwa 10,000/= alafu kodi hailipwi wkt tukienda uwanja wa Taifa tunatozwa 3000/= na kodi wanakata.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,714
  Likes Received: 12,762
  Trophy Points: 280
  Litamfikia
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CCM ina masilahi na TAZARA ndiyo sababu!
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ashalipata..tusubiri ufuatiliaji tuu
   
Loading...