Kwanini WAASISI wa CHADEMA walitokea BOT? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini WAASISI wa CHADEMA walitokea BOT?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 15, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Waasisi wa CHADEMA wanajulikana. Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Mh.Freeman Aikaeli Mbowe,ni juzi tu,amewataja kwa majiana na mahali walipotoka.

  Wengine nimewahi kuzungumza nao nyakati tofauti tofauti. Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA alikuwa Mzee Edwin Isaac Mtei huku Katibu Mkuu akiwa Hayati Bob Nyanga Makani.

  Wakati Mwenyekiti Mtei akiwa ndiye Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT),Hayati Makani alikuwa Naibu Gavana wa Benki hiyo.

  Upinzani wenye nguvu umeanzia BOT. Kwanini? Tujadili kwa staha...
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wewe unadhani ni kwanini?
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenikumbusha kesi moja ya huko Uingereza ya Heaven v. Pender ambapo Jaji alisema mtu akiuliza why? jibu lake ni why not?
  Sijui Mkuu...
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mtizamo wako ni upi?
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  walipata nafasi ya kufahamu mambo mengi (mengine ya kipuuzi ya wanasiasa wa CCM) hivyo walitaka kutumia ujuzi huo kuikomboa Tanzania.
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hawakupendezwa na hali ya wizi iliyokuwa inafanyika kwenye Idara za Serikali kwa malipo waliyokuwa wanayasimamia.Pia,kupingwapingwa kwa sera zao za kujenga uchumi Mkuu...
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Walikuwa na taaluma za kuiongoza BOT
   
 8. d

  dav22 JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmh sina jibu...
   
 9. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mbowe naye alifanya kazi bot kama nipo sawa.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CHADEMA ina watu vichwa mkuu. Siyo kama hawa wa serikali ya Jk sijui kawatoa wapi, wizi mtupu!
   
 11. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  basi aliingizwa na mtei!
   
 12. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
   
 13. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmhh,baada ikawaje inaonekana unalijua vilivyo hili.
   
 14. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu kelvito, hivi mzee mtei alijiuzuru/kuacha ugavana mwaka gani?
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  unafikiri ni kwa nini uchaguzi ukifika ccm waunda kampuni na kuziingiza pale?
  AU UNAFIKIRI MCHEZO MCHAFU UMEANZA LEO?

  CHADEMA iko vizuri chunguza viongozi wake mmoja baada ya mwingine.
  LEMA pamoja na kuwa hajafanya kazi serikalini lakini ukisoma barua yake anasema aliitwa na rais akataka amsajili ccm lakini akakataa.
  je unafikiri ni kwa nini mh rais alitaka kumchukua lema?
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa kuwa wamejiimarisha kiuchumi na wanajua kuwa siasa ndio msingi wa kumiliki taasisi za fedha wameona waingie kwenye siasa ili waweze kuumiliki uchumi wa nchi na hivyo wao kuwa ndio miamba ya nchi hii kwa maamuzi.
   
 17. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na ndio maana michango ya balali humu jamvini ukiisoma inakupa muamsho wa aina yake. fuatilia utaona anachangia nini .. . . .
   
 18. M

  Mujanjabi Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mm ninachodhani mapanga kidogo yanaitajika ila kirahisirahisi haiwezekani
   
 19. m

  mharakati JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mbowe alikua karani pale..Mtei definitely alimuingiza mtoto wa wa mzee mwenzake wa Kaskazini. dhambi hii imeendelea hadi leo ndani ya Chama. Na Mbowe kwa kuishi kwa kukingiwa kifua miaka yote toka utoto wake tu amekua kiongozi wa namna hiyo, muoga, muoga na huu uoga wa kukosolewa ni dalili ya udikteta.
   
 20. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu hujui kuwa majina huwa yanakuwepo tuu, Namaanisha kuwa kwa kimemo inawezekana!
   
Loading...