Kutoka na punguzo la kodi Je bei za ngano,gesi na vingamuzi kushuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka na punguzo la kodi Je bei za ngano,gesi na vingamuzi kushuka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jun 15, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Katika pitia pitia yangu nimekuta ivi vitu vitatu kwa bajeti
  1.Alisema ushuru wa forodha umepunguzwa kwa ving’amuzi kutoka asilimia 25 hadi asilimia sifuri ili kuwezesha mabadiliko katika teknolojia ya analogia na kwenda katika teknologia ya digitali.

  2.Alisema katika Bajeti hiyo, pia ushuru wa ngano umeondolewa kuwa asilimia 0 badala ya asilimia 35

  3.Katika eneo hilo, Serikali imeondoa VAT kwa vifaa mbalimbali vya kuhifadhia, kusafirisha na kusambaza gesi asilia ili kuongeza matumizi ya nishati hiyo katika sekta mbalimbali za kiuchumi, kwenye magari, majumbani na viwandani.
  MY TAKE:
  KUondoa au kupunguza ushuru ktk ivyo vitu vitatu will be useless kama serikali haitafanya follow up kuhakikisha vinashuka bei.
  Imagine just recent serikali ilitoa tamko kuwa unga uuzwe 800 kwa kilo ila bado kuna watu wanapiga mpaka 1200tshs kwa kilo.
  Sichelei kusema serikali legelege huwa haifuatilii ilichokisema ie maisha yanakuwa mepesi kwenye mikaratasi yenu na ya yanakuwa magumu in real sense bse hakuna follow up
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,464
  Trophy Points: 280
  hata kama punguzo lipo litachelewa sana kumfikia mlaji maana wafanyabiashara hawakawii kusema wanamzigo wa zamani.!
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kungekuwa na kitengo maalum cha kusimamia haya mamifumuko ya kila siku
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
   
 5. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Leo bia na fegi zimeshapanda.
  Bidhaa zakushuka mtasubiri sana.
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Spot on! Na serikali hii legelegele ishawekwa mfukoni zamani, kwa hiyo ni business as usual
   
 7. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  andazi litashuka bei
   
Loading...