Tucta tunataka majibu,bajeti mmeisikia

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
354
51
TUCTA,jipange tugome serikali haijamtendea haki mfanyakazi kwani kodi imeongezwa na mshahara unabaki kuwa duni pamoja hali mbaya ya maisha tuliyonayo.Jipange tugome.
 
TUCTA,jipange tugome serikali haijamtendea haki mfanyakazi kwani kodi imeongezwa na mshahara unabaki kuwa duni pamoja hali mbaya ya maisha tuliyonayo.Jipange tugome.

Siku ya wafanyakazi duniani aliyofanyika Tanga kitaifa madai mojawapo ya wafanyakazi kwa serikali ilikuwa ni kupunguziwa kodi na Rais katika hotuba yake aliahidi kwamba serikali itapunguza kodi. Lakina jana nilipokuwa nasikiliza bajeti ya serikali 2012/2013 nilishaanga kusikia kwamba kodi imeongezwa, kwa kweli serikali iliyopo madarakani imeshindwa kutimiza ahadi zake kwa wafanyakazi na kwawananchi kwa ujumla. Katika nchi hii hakuna mfanyakazi anayeweza kukwepa kodi ingawa mishara yao ni midogo wakati huo huo kunawafanyabishara wakubwa na makampuni makubwa wenyevipato vikubwa wanaishia kufutiwa kodi na wengine wanakwepa kijanja tu hata hawalipi.

Ushauri wangu kwa viongozi kuweni wabunifu katika kutafuta vyanzo vya mapato serikalini mbona vipo vingi sana badala ya kutegemea kodi za wafanyakazi ambao wanaishi maisha magumu hadi wenye maduka wamewachoka kwani kwa hali iliyopo sasa wafanyakazi ndio wanaoongoza kukoba bidhaa kwenye maduka na kuyalipa mwisho wa mwezi.

Kwa mpango hu kama magamba sio wabunifu katika kutafuta vyanzo vya mapato serikalini waachie nchi tu imewashida waikabidhi kwa pepoziiiiiii pawaaaaaa kabla 2015 tunaweza tukasema tusubiri hadi 2015 tukajikuta nasisi wananchi na nchi yetu yote tumeuzwa.
 
Tucta wenyewe uchuro!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wanakula tu pesa zetu za michango na kujifanya wanatetea kwani kusiwepo na reaction katika hili? watunga sera wao hawana shida maake wakula posho zisizokuwa na kodi hivo hawaoni shida kuwakandamiza wenzao ili wasije kulingana nao
 
Back
Top Bottom