Vua Gamba, chana Gwanda vaa Uzalendo kutikisa Bunge la Bajeti 2012-13

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Utekelezaji wa Kauli mbiu ya vua Gamba, chana Gwanda vaa uzalendo kutikisa Bunge la bajeti ya serikali 2012-13.

Wabunge wazalendo kutoka CCM wataongoza kwa hoja na vitendo katika kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa manufaa ya Watanzania wote.

Aidha kwa upande mwingine wabunge kutoka CHADEMA wametabanaisha kuwa watavua Magwanda yao mazito na kuvaa uzalendo katika kutetea maslahi ya Taifa.

Daima CCM itabaki kuwa CCM for Peace & Development.
 
Hamna mtu wa kuchangia na hii thread ita expire sasa hivi
 
sasa upinzani mnaona maana bila kuitaja chadema ccm hamlali jiandaeni 2015 kuwa chama pinzani samahani ukweli unauma:confused2:
 
Usiniambie kuwa wabunge wa magamba ndo wanaamka usingizini sasa. Acha walale wasipoonekana hawana maana kabisa na hawawezi sema chochote mpaka chadema waseme.
 
Mabingwa wa 'kugandamizia'....ni tatizo kubwa sana kwa CCM kukosa ubunifu, Katibu uenezi Nape ni mzee wa re-mix tu, nanasubiri CDM watoe singo, ye anare-mix halafu anatamba!
 
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kupata usingizi haya yalisemwa na jk
 
Wabunge wa ccm ni usanii wao kama kawaida maana watapoteza muda mwingi kuongea kwa kulaghai wananchi lakini mwisho ni kuunga mkono hoja mia kwa mia
 
Utekelezaji wa Kauli mbiu ya vua Gamba, chana Gwanda vaa uzalendo kutikisa Bunge la bajeti ya serikali 2012-13.

Wabunge wazalendo kutoka CCM wataongoza kwa hoja na vitendo katika kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa manufaa ya Watanzania wote.

Aidha kwa upande mwingine wabunge kutoka CHADEMA wametabanaisha kuwa watavua Magwanda yao mazito na kuvaa uzalendo katika kutetea maslahi ya Taifa.

Daima CCM itabaki kuwa CCM for Peace & Development.

Mr emmy, unaweza kutuambia nini kimesukuma CCM mpaka wakaja na hayo maneno "vua gamba, chana gwanda, vaa uzalendo"? Wamejifunza wapi?

NB: Kwa nini watumie neno "chana" kwenye gwanda na sio "vua" kama ilivyo kwenya gamba? Uchochezi?
 
Vua Gamba ni kauli mbiu ya CCM hivyo sio remix kama mlivyofanya CDM kwa kucopy kitu ambacho mlikuwa mnakipinga hapa mmenoa
Mabingwa wa 'kugandamizia'....ni tatizo kubwa sana kwa CCM kukosa ubunifu, Katibu uenezi Nape ni mzee wa re-mix tu, nanasubiri CDM watoe singo, ye anare-mix halafu anatamba!
 
Utekelezaji wa Kauli mbiu ya vua Gamba, chana Gwanda vaa uzalendo kutikisa Bunge la bajeti ya serikali 2012-13.

Wabunge wazalendo kutoka CCM wataongoza kwa hoja na vitendo katika kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa manufaa ya Watanzania wote.

Aidha kwa upande mwingine wabunge kutoka CHADEMA wametabanaisha kuwa watavua Magwanda yao mazito na kuvaa uzalendo katika kutetea maslahi ya Taifa.

Daima CCM itabaki kuwa CCM for Peace & Development.

Du hii imeandikwa na mtoto wa kindergarten ama??
 
Utekelezaji wa Kauli mbiu ya vua Gamba, chana Gwanda vaa uzalendo kutikisa Bunge la bajeti ya serikali 2012-13.

Wabunge wazalendo kutoka CCM wataongoza kwa hoja na vitendo katika kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa manufaa ya Watanzania wote.

Aidha kwa upande mwingine wabunge kutoka CHADEMA wametabanaisha kuwa watavua Magwanda yao mazito na kuvaa uzalendo katika kutetea maslahi ya Taifa.

Daima CCM itabaki kuwa CCM for Peace & Development.
Siko tayari kubaki UCHI wa mnyama. Sihitaji Gamba linanuka ukurutu ninataka GWANDA halafu ninapiga kelele PEOPLES!!!!!!!!!! ninajibiwa POWER hadi raha.
 
Back
Top Bottom