Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza ieleweke wao madaktari ni binadamu kama binadamu wengine ,ujuzi wao usikufanye wewe kuwaona wao wabaya wanapodai hela na kusema wapo kimaslahi ,maslahi hayo ndio hayo hayo yanayoifanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka. Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Moja ya kauli nilizozisikia kipindi kile ni ari mpya nguvu mpya kasi mpya! Najiuliza hii ndio ari mpya?, je hii ndio nguvu mpya? na je hii ndio kasi zaidi? hii ni kasi mpya? KAMA WATANZANIA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Juzi waliofanya mauaji ya mtalii wamekamatwa, pia walioua kiboko nao wamekamatwa, lakini cha kushangaza majuma mawili kabda ya matukio hayo juu, kuna ndugu yetu mlemavu wa ngozi aliuliwa kikatili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau mnaonaje hii logo ikikaa kwenye Tshirt?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania ni wepesi kudanganyika. Kipigo cha Ulimboka kimelenga kuwagawa Watanzania ili wasiweze kuona ukweli wa madai ya madaktari na udhaifi wa serikali katika kutekeleza ahadi zao...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hata nikibaki peke yangu .... ninaunga mkono madai ya madaktari kuhusu kuboresha huduma mahospitalini. Wengi wetu tunalalamika pasipo kujua uchungu wa kufiwa mikononi na mtu ambaye ulikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
....Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema atapanga ratiba ya kuonana na madaktari kuona namna ya kumaliza matatizo yao.Amesema kuwa anafahamu matatizo yao na kwa hiyo ataonana nao na ana...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Guys let us wake up now, this govt of ours now sucks, Mr Pinda has to retire, they get money and they do not wanna share with any of us, they want all the money for themsleves.....damn selfish...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi majuzi tulisikia serikali ikituambia kuwa swala lake na madaktari limeshindikana kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo na hivyo serikali kuamua kulipeleka mahakamani na hatimaye mahakama ikatoa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
JAKAYA KIKWETE UMECHEMSHA VIBAYA, UMEONA WAPI AU KUSIKIA NI NCHI GANI IMEFANIKIWA KWA KUFUATA FALSAFA YA UTAWALA WA SHERIA? hata hao unaoenda kuwapigia magoti eti watupe misaada ni madikteta mbaya...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Kwa mujibu wa chanzo muhimu katika wizara ya afya, Serikali imejiandaa kuchukua hatu kali kwa madaktari wote waliogoma ifikapo kesho Ikiwa ''Ni pamoja kuwafukuza kazi na utumishi'' baada ya juhudi...
3 Reactions
173 Replies
14K Views
Inaonekana huyu alikua anajua kila kitu kuhusu mpango aliofanyiwa dr.
2 Reactions
94 Replies
8K Views
Amini usiamini kumpata mganga wa kienyeji ni lazima ufanye booking before three days karibu katika mikoa yote ya Tanganyika na chati ya waganga hao sasa imepanda na kuwa dili kubwa kiasi ya kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Posted on June 28, 2012 by zanzibaryetu SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema haifurahishwi na tabia ya watu wanaojitokeza kuandika vipeperushi vya fitna dhidi ya wananchi wa Unguja, Pemba na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What about the bad things that happen to us? Are we calling them forward to? And if so, how? If so, why? Well, the short answer is, we don’t mean to. But yes — we are doing it, individually as...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Wakubwa shikamoo na wadogo mambo zenu...!jamani mungu ametuonesha wanafiki na wasio wanafiki ni kina nani.....nasema hivyo kutokana na sakata ili la madaktari, wasomi hawa wanapinga vitu kwa...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa...
1 Reactions
123 Replies
10K Views
Makamo wa Bili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema haina msimamo na wala haiwezi kuwashawishi wananchi wakaseme nini katika tume ya kuratibu na kukusanya maoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…