Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Same ORG, Jun 27, 2012.

 1. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana huyu alikua anajua kila kitu kuhusu mpango aliofanyiwa dr.
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  sijawahi ona serikali ya kichina kama hii
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  abanwe huyo huyo....anajua kila kitu.....
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee lile jamaa wangelitengua mbavu tu ningefurahi saaana
   
 5. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  si aliuwa na radio koo iko wapi
   
 6. n

  ngam Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo askari angetolewa kafara hapo hospitali ndipo wangeshika adabu - kul -wahed. Angejua kuwa inapobidi, hospitali inaweza kubadilika na kuwa uwanja wa kushikisha adabu na kubadilisha jina la mtu na kuwa marehemu! Amekuwa na ujasiri wa kiasi gani kuja hadi hospitali!! huyo kama sio lucifer, basi anahaha kwani hajatimiza alichotumwa - imekula kwake, kichwa chake halali ya 'state'
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani yule ndiye mtu ambaye angeanzisha upelelezi ambao ndio ungeleta jibu la chanzo cha tukio. Sasa tunasikitika amepigwa.
   
 8. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kamanda wa polisi amehojiwa TBC1 akasema kuwa wananchi waache kuchukua sheria mikononi yule askari pale Muhimbiri alikuwa anafanya upelelezi kujua kilichotokea, hivyo inaonekana wananchi wameharibu taratibu za kipelelezi, hivyo tunaweza tusipate kitu chochote kizuri.

  Nawakilisha niliyosikiliza.
   
 9. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kumbe tuko wengi tuliosikia huo uppuuzii,
   
 10. D

  Determine JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Walitumwa kuua wao wakaumiza tu! Sasa hawatamgusa tena. Kuanzia leo madaktari tumeunda kamati ya mlinda wkt wa matibabu tunajua pindi na wenzake hawataki aishi. Sasa waje MNH na vibunduki vyao. Umma haujawahi kushndwa na askari wataua mia hlf tutawatoa Ikulu. Wamufuate aliko Gadafi.
   
 11. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi naomba kuuliza usalama wa Taifa lazima wavae suti nyeusi coz mara nyingi sana naona wako kwenye hizi nguo. Pale chuoni MUHAS kulikuwa na mwalimu wetu yeye siku zote anavaa nguo nyeusi hivi ni lazima? Hata yule wa leo alivaa nyeusi, walinzi wa Rais vilevile, mwongozo wakuu
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wasubiri akienda hospitali huyo bwana wamdunge sindano.
   
 13. chubio

  chubio Senior Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawatachelewa watamtorosha kupoteza ushaidi
   
 14. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unijua Serikali ya Kichina weye?
  China hawana upuuzi
   
 15. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  hata aibu hauna eti tbc1.
   
 16. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  What if madaktari wakitangaza vita na wagonjwa ambao ni wanausalama nani atashinda?. Hili suala kina Mwema wasilichukulie kijuujuu lina effect kubwa sana kwa askari wa kawaida. Wanatakiwa kuweka kila kitu wazi na kuwakana wale wote waliosuka mpango huu unprofessional.
   
 17. s

  sangija Senior Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhali ufurahi kapigwa,tene kwngu mimi nae wangemmaliza kabisa!!!! je ww ni mgeni ktk nchi hii?? huyo askari hata iweje asingeweza saidia upelelez kwa namna yyte ile,labda iwe ktk nchi nyingine ila sio hii yetu chini ya hii serikali ya nyinyiem!! Je mara ngapi unasikia kesi zenye ushahidi lakin zinayeyuka bila hukumu???? mapaka sasa wangapi wameuwawa hapa na hakuna chochote kinachofanyika???
   
 18. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia sura zao zilivyojaa uongo, eti alikuwa anaenda kuanza upelelezi! Hivi hata saikolojia hawasomi hawa askari wetu?
   
 19. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Si za bure?

  Ni sare ile serikali inawashonea kisha hali ngumu inwalazimisha kuvaa.
  Usalama wa Taifa ni watu duni kama 90% ya watumishi wa serikali
  Lakini ukiwaona wanavyojitutumua kaa Chura aina ya Todi!
  Mafunzo yenyewe ya usalama wa taifa wanayapata kwenye kale kajichuo kao kachovu hakana vifaa

  Lakini Mafunzo ya nguvu ya nini wakati kazi yenyewe ni kupambana na raia wema??

  Usinchezee mi Usalama wa taifa!

  Usalama wa taifa? UWT my butt!

   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hapa alikuwa analinganisha na bidhaa feki za china na wala sio serikali ya china
   
Loading...