Mizengo pinda kuonana na madaktari ili kumaliza matatizo yao... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mizengo pinda kuonana na madaktari ili kumaliza matatizo yao...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jan 25, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ....Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema atapanga ratiba ya kuonana na madaktari kuona namna ya kumaliza matatizo yao.Amesema kuwa anafahamu matatizo yao na kwa hiyo ataonana nao na ana hakika atawarudisha kazini.Iijulikani kama alikuwa anajua tatizo lao kwanini hawakuyatatua mapema.

  My take:
  Ni huyu Pinda aliyeonwa mara ya kwanza akawajibu vibaya,alikuwa anajaribu anadhani hawa ni walimu.Watawala wetu ni watu wa ajabu sana.Na nawaonya madaktari wawe makini na huyu jamaa,kawaida serikali inamtumia sana kuja kuongea na wafanyakazi wanapohisi kuna shida,na ni mtu wa porojo sana wahadhiri wa UDOM ndio wanamfahamu huyu jamaa.


  source TBC 1
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pinda anatakiwa asilte porojo kwenye hili swala la madaktari. Kaongeza posho za wabunge kwa hiyo kama serikali inapesa ya kumlipa mtu mmoja laki 200,000 kwa siku kwa nini serikali hiyo hiyo ikose hela ya kuwalipa watu wanaokoa maisha ya mwanadamu?
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii nchi ni ya maajabu! Hakuna vipaumbele...Kila kiongozi anatafuta sifa... Hakuna anayekubali kuwa kachemsha... taabu tupu!
   
 4. n

  nandipha Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pinda atapinda kama jina lake endapo atapindisha hili. THIS IS SERIOUS.... ASIJARIBU KABISA
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Wamkatae huyu mleta porojo..maana hana jipya wangemtaka yule vasco da gama waongee nae na sio huyu asiye na meno "hadi rais atue"!!
   
 6. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  msikimbilie kutoa majibu/kumjibia mwacheni Pinda ajibu kisha tumhukumu
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huyu mzee sijui vipi yani amesubiri watu wameshaumia na kufa ndo anaomba mazungumzo
   
 8. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Hivi Pinda ana rekodi gani ya kujivunia tangu awe PM?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  atasema "ningekua na maamuzi ningemfuta kazi blandina nyoni,lakini nimeongea na mheshimiwa rais na amesema akirudi atashughulikia swala lenu.
   
 10. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Sasa JK kaacha mgogoro kaenda Ulaya. Maana yake ni nini? No solution.

  serikali haina nia kutatua hili Tatizo, just cheap politics.

  Wakati wote mawaziri wa afya wanaitwa, Pinda aliitwa, hawakutoa jibu. Sasa wameona Mgomo ndo PM anasema anataka mazungumzo.

  Hivi hii serikali ni vipofu???

  Wabunge wanaongezewa Posho mara moja, ila madokta wananyimwa.

  Wabunge wana umuhimu kuliko madokta?

  Enyi madokta, msirudi nyuma na msikubali ahadi za uongo!!! Go Go Dks
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anasema hajui ajenda za madokta. yaan ful upuuz hajui. sasa anajua nini?
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hadaa zin mwisho
   
 13. HT

  HT JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  madaktari fanyeni kama hamjamsikia hivi. Yeye atoe tamko na lianze immediate. Madaktari sio kwamba wanataka kukutana na PM, wana madai yao...wayatimize hayo.
  Hii serikali ya ajabu kweli, yaani ina pesa ya wasinziaji bungeni (ukiondoa wachapa kazi wachache) lakini haina pesa ya kulipa mhimili (waalimu madaktari et al).
  Kwanza nchi inaweza kwenda bila PM wala mbunge ila sio bila waalimu wala madaktari! Hii serikali kuna kitu inatafuta na itakipata!
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Usanii
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Bora tuvurugane tu! Hakuna vipaumbele kabisa! Hv mmeona msafara wa mkuu huko Uswisi? Kiasi gani kinaungua? Wabunge wameongezewa posho! Upuuzi!
   
 16. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kabisa mkuu,hasa hapa kwa walimu mm ndio nina hasira nao balaa.
   
 17. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwanza kwa nini ajibu leo?
  Lakini pia si walisema hakuna mgomo?! anyamaze tu basi kama alivyokuwa juzi na jana!!
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Mizenguo iliyopinda.. MaDR shikilieni hapo hapo, naskia mwenye nchi kashakimbia.. mikutano ya kutuma waziri yeye anangangania kwenda
   
 19. A

  Ahakiz Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipaumbele vipo sema tu havihusu watu wengi kwa mfano
  1.posho za wabunge
  2.mashangingi ya wabunge na mawaziri
  n.k
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,379
  Trophy Points: 280
  Hili siyo suala la Waziri Mkuu asiye na nguvu; hili ni suala la Rais na CCM kama chama tawala; Madaktari wasikubali kugereshwa kwa maneno ni lazima Rais ndiye akutane nao na CCM ibadilishe sera zake kwenye hili suala.
   
Loading...