Hii ndio tafauti ya wasomi na wanasiasa wapenda cheap popularity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio tafauti ya wasomi na wanasiasa wapenda cheap popularity

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jun 28, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakubwa shikamoo na wadogo mambo zenu...!jamani mungu ametuonesha wanafiki na wasio wanafiki ni kina nani.....nasema hivyo kutokana na sakata ili la madaktari, wasomi hawa wanapinga vitu kwa vitendo na kkuonesha msimamo wao kwa kujitoa muhanga wao na kupoteza maslahi yao ktk kudai haki japo wananchi tunaumia. Mfano ni DR.ULIMBOKA

  Lakini hawa ndugu zetu wanasiasa wao huwa wanapinga siku moja wanaandikwa magazetini lengo lao huwa ni kutafuta umaarufu tu wakifikia hatua ya kupoteza kazi zao wanarudi nyuma na kuendelea na majukumu yao hat akama kuna wananchi wameathirika pengine kwa kupoteza maisha. Mfano ni arusha.

  Jana zito na leo Mnyika wanaanza kujipambanua eti wanalaani kitendo alichofanyiwa DR. Ulimboka kwani wao ndio wasemaji wetu wananchi au madaktari?????? wasitake umaarufu kwa mgongo wa maumivu ya wenzao wao walikuwa bungeni juzi etii wanapinag budget mbona hatukuona uzalendo wao wakashika shilingi budget isipite na bunge livunjwe wapoteze maslahi yao wanatuadaaa tuu hao

  Hizi ndio tofauti za wazalendo wasomi na wanasiasa

  Sasa watanzania mungu katufumbua macho anayejitambulisha kuwa ni mzalendo ni lazima akubali kupoteza yeye kwanza ndio nasie anayetaka tumsupport tufate kama MWL.J.Nyerere alivyojitoa yeye kwanza.
   
Loading...