Mauaji ya walemavu wa ngozi na kitendawili cha wahusika

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Juzi waliofanya mauaji ya mtalii wamekamatwa, pia walioua kiboko nao wamekamatwa,
lakini cha kushangaza majuma mawili kabda ya matukio hayo juu, kuna ndugu yetu mlemavu wa ngozi aliuliwa kikatili sana lakini mpaka leo hakuna taarifa ya kukamatwa kwa wahusika,
INANITIA SHAKA SANA KIVIPI HAWA WATU WASIWE WAMEKAMATWA.
Pole Mh mbunge kwa kutoa mchango wako kwa majonzi mazito sana, nakuunga mkono kwa hili
 
Mh Shaymar Kwegir machozi yake wakati anachangia yalikuwa ya uchungu wa kweli, lakini yale machozi ya Pinda wakati ule yalikuwa ya kinafiki!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom