Katika hili kikwete umechemsha!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika hili kikwete umechemsha!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by great 2012, Jun 28, 2012.

 1. g

  great 2012 Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAKAYA KIKWETE UMECHEMSHA VIBAYA, UMEONA WAPI AU KUSIKIA NI NCHI GANI IMEFANIKIWA KWA KUFUATA FALSAFA YA UTAWALA WA SHERIA? hata hao unaoenda kuwapigia magoti eti watupe misaada ni madikteta mbaya linapokuja suala la maendeleo ya nchi zao. katika nchi yenye walafi, wezi, wabinafsi kama hii utawa wa sheria wala hauhitajiki, cha msingi ni kuwa dikteta, thats why serikali ya CCM inashindwa kuwabana MAFISADI coz hao hao ndio wanaozitunga sheria so wanajua udhaifu wake ndio maaana wanaiba na wakipelekwa mahakamani wanashinda. KIKWETE DHAMBI HII ITAKUMALIZA MPAKA UTAKAPOINGIA KWENYE FUTI 6. NA WATANZANIA WAMECHOKA KUDHULIUMIWA HAKI ZAO NA KUIBIWA UTAJIRI WAO. MAAAFA YA KUPINDULIWA YANAKUJIA HATA KABLA YA 2015. NA KUMBUKA KUWA "A MAN OF THE PEOPLE ALWAYS ENDS BEING AN ENEMY OF THE PEOPLE"
   
Loading...