who is the best?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
8,861
12,496
wadau nimejaribu kuangalia katika bunge letu kuna wanadhimu wawili..
Kambi ya Upinzani na kambi ya Magamba
Kambi ya Upinzani Tundu Lissu
Kambi ya Magamba William Lukuvi..
Yupi ni mnadhimu bora kwa kipindi cha mwaka 2011-2012??
 
Kumbe thread zako ndo kama hizi? Pumba tupu unaandika uozo unategemea nani akujibu? eti nawe unajiita Great Thinker, Dhaifu we Manyanza
 
Last edited by a moderator:
wadau nimejaribu kuangalia katika bunge letu kuna wanadhimu wawili..
Kambi ya Upinzani na kambi ya Magamba
Kambi ya Upinzani Tundu Lissu
Kambi ya Magamba William Lukuvi..
Yupi ni mnadhimu bora kwa kipindi cha mwaka 2011-2012??

pumba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom