Bajeti 2012/13: CUF kama popo vile, sio ndege wala sio mnyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti 2012/13: CUF kama popo vile, sio ndege wala sio mnyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jun 21, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  WanaJF jana wakati mbunge wa ole kutoka zanzibar, kupitia CUF akichangia hotuba ya bajeti aliomba bunge limpe nafasi yeye na chama chake wawasilishe bajeti mbadala. Ombi hili lilitokana na ukweli kwamba bajeti ya serikali ni hovyo na ile ya upinzani kudaiwa kuwa hovyo na Mwigullu na kisha kuitupa.

  Kama msingi wa CUF kupewa fursa kuwasilisha bajeti bungeni ni kukataliwa kwa bajeti ya serikali na ya upinzani, sasa CUF kama chama cha siasa wawasilishe bajeti kama nani?? maana sio serikali wala sio upinzani ndo mantiki ya mbunge huyo, kuwa yao haijasilizwa hivyo wapewa nafasi, wao CUF kama nani as we write and speak??? hawako serikalini na wala sio wapinzani ni nini hii kitu inaitwa CUF???

  Mbunge wa Ole na wanaCUF tusaidieni.

  Nawasilisha
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Popo = CuF
   
Loading...