Mbunge Gaudense Kayombo (Mbinga) Awaibia wananchi TZS 21,000,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Gaudense Kayombo (Mbinga) Awaibia wananchi TZS 21,000,000/=

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Neng'uli, Jun 17, 2012.

 1. N

  Neng'uli Senior Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa Tarafa ya Namswea- Wilaya ya Mbinga waishio Dar es salaam walichanga pesa ili kununua vifaa vya maabara kwa ajili ya Ruanda Secondari. Mheshimiwa akatoa pendekezo kuwa atanunua vifaa hivyo na kwenda kukabidhi kwa Mkuu wa shule. Baada ya muda aliibuka na kueleza kuwa, amenunua vifaa na kusafirisha kwa bahati mbaya gari imepata ajali na vifaa vyote vimeharibika.

  Aliombwa uthibitisho wa Polisi kupima ajali hiyo-- Hakutoa, Aliombwa hata picha za tukio--- Hakutoa. Akaombwa hata copy za risiti ya manunuzi-hajatoa. Wananchi wamekuwa wakiulizia hatima ya tukio hilo bila majibu na sasa Jamaa yupo kimya.
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huu ni utapeli wa waziwazi!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Wamesikia kitu kinaitwa mahakama?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huu siyo wakati wa kulalamika kama majuha..chukueni hatua kama alivyosema mzee mwanakijiji..ccm imeoza
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mwigulu anaacha kufuatilia hili la ndani ya Chama chake anahangaika na Mbowe
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuthibitisha madai yako?
   
 7. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa nini hao wananchi hawautaki kukoma????!!! Kabla ya kuwa mbunge alikuwa mweka hazina ya NGO ya hukohuko Namchwea na aliiba hela, sasa kwa nini walimkabidhi tena hela
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  chezea magamba wewe..si mlikula wali kuku na tshirt mkavaa..ndo anarudisha hela zake ivyo..tulieni kama mnanyolewa tuuu
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bila shaka atakuwa mbunge wa gamba ndo wenye roho ngumu hivi!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwenye chama chako yote yanayofanyika humo yameoza atafuatilia lipi na kuacha lipi?
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mwenye asili haachi asali kama ccm asili yao ni wezi na bado kwa hali ya nchi ilivyo hawaachi kuiba!
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  kofia na khanga zimewakosti

  sasa wangoni na ujanja wote ule wanashindwa kumweka sehemu yake huyu jamaa?
   
 13. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kila siku mnaambiwa badilikeni hamtaki, nyie mnajua ni kizazi cha mafisadi halafu bado mnamkabidhi jukumu kama hilo, hapo anajua ya kwamba hata mkienda mahakamani bado iko kwenye mikono yao,pole sana, badilikeni
   
 14. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,382
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Chukua Chako Mapema (CCM)
   
 15. D

  Danho Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama Cha Majambazi(CCM). Mpaka 2015 wataiba sana aise..
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Me nakereka sana na watu wa namna hiyo,
  dawa ya mwizi ni kiberiti,
  au mnamuogopa?
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: eti gari lilipata ajali...jamani...huu uwizi wa mchana kabisa
   
 18. s

  swrc JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli sikio la kufa halisikii dawa! Na siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Ndiyo mwisho wa chama cha majizi.
   
 19. M

  Malova JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Huu ndio mwisho wake.......
   
 20. a

  andrews JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
Loading...