Rais JK jisajiri Jf Kupata Uchambuzi na Weledi Kuboresha Utawala wako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais JK jisajiri Jf Kupata Uchambuzi na Weledi Kuboresha Utawala wako.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanga, Jun 21, 2012.

 1. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Katika kupitia michango mingi ya wananchi wa Tanzania juu ya maendeleo na changamoto zinazokibali nchi yao ni vema Kiongozi wa nchi JK kuwa mwanachama hai ili aweze kusoma na kuelewa mawazo na michango ya wananchi wake.Kuna maoni na ushauri mzuri sana wa vijana wasomi na weledi ambao ni kwa faida ya kiongozi yeyote makin na mwenye nia ya kuleta mabadiliko yenye tija.
  Kazi ni kwako JK, nakuomba ujonge kuna kisma cha bure cha kuchota maarifa bora.
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unataka abanwe kwa hoja humu mpaka iwe proved beyond reasonable doubt kwamba yeye ni dhaifu siyo? chezea Jamii Forums weye!!
   
Loading...