KATIBA MPYA: Itoe haki kwa wapiga kura kuwaondoa wabunge na madiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBA MPYA: Itoe haki kwa wapiga kura kuwaondoa wabunge na madiwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Jun 24, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama wapiga kura ndiyo wanaowapa jukumu la uwakilishi kwa wabunge na madiwani, basi waruhusiwe kuwaondoa pale itakapothbitika kuwa hawatimizi wajibu wao wa kuwawakilisha kama ilivyotarajiwa.

  Mawazo haya yana kila mantiki lakini ili hilo lifanyike naona inabidi tuondoe kikwazo kinachoweza kutukwamisha mbeleni katka hilo nalo ni kutokuwa na muafaka kuhusu nini wajibu wa wabunge na madiwani. Nimeona wananchi wakitofautiana sana kuhusu kipimo cha utendaji wa hawa wawakilishi

  Noana tukitofautina sana katika ni nini wajibu wa na kipi sii wajibu wa mbunge au diwani

  Wanajamvi mnasemaje ?
   
Loading...