Je kwa maneno haya nyerere amtukana/alimkashfu mwinyi

mwikumwiku

Senior Member
Jul 15, 2011
153
35
Baba wa Taifa, Mwl. J.K Nyerere katika kitabu chake kiitwacho UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA ukurasa wa 50 anasema hivi:

RAIS MWINYI NI MTU MWEMA NA MPOLE, LAKINI NI DHAIFU; NA UPOLE WAKE NA UDHAIFU WAKE UNATUMIWA NA WATU AMBAO WALA SI WEMA WALA WAPOLE KUHATARISHA UMOJA NA AMANI YA NCHI YETU.

Je kwa maneno haya mtazamo huu, je ingekuwa leo angeadhibiwa? TUTAFAKARI
 
Mwikumwiku!

Uko sahihi bila kwenda mbali tutafakari elimu ya John Mnyika ni ya Chuo kikuu tena Mwanasheria . Aliyeomba mwongozo John Lukuvi elimu darasa la Saba hata fasihi ya Kiswahili hajasoma.

Of course sijui elimu ya Ndugai but ukiangalia anavyojiita "Naibu Spika wa Uhakika" utaona ni mtu ambaye Shule imempiga Chenga. It is unfortunate that not everybody who is educated went to the proper school.

Watu wenye elimu ndogondogo huwa they have zero tolerance when you attack a personality they think imortal politically or religiously and that is the problem. Spika proper angempatia nafasi afafanue alichotaka kusema. Kwa kumfukuza alitunyima watazamaji fursa ya kuform opinion.
 
HAKUMKASHIFU. Mwinyi ni dhaifu ndo maana hata wehu humpiga vibao
 
Siyo kashifa ni haki yake
huo ni ushahidi mwingine wa kauli ya mnyika yenye ukweli mtupu

ukweli ni uhuru
 
Mwikumwiku!

Uko sahihi bila kwenda mbali tutafakari elimu ya John Mnyika ni ya Chuo kikuu tena Mwanasheria . Aliyeomba mwongozo John Lukuvi elimu darasa la Saba hata fasihi ya Kiswahili hajasoma.

Of course sijui elimu ya Ndugai but ukiangalia anavyojiita "Naibu Spika wa Uhakika" utaona ni mtu ambaye Shule imempiga Chenga. It is unfortunate that not everybody who is educated went to the proper school.

Watu wenye elimu ndogondogo huwa they have zero tolerance when you attack a personality they think imortal politically or religiously and that is the problem. Spika proper angempatia nafasi afafanue alichotaka kusema. Kwa kumfukuza alitunyima watazamaji fursa ya kuform opinion.
Mnyika gani unamzungumzia? Weka CV yake kama hutokimbia! Infact zaidi ya 70% ya wazee wa Magwanda bungeni wana elimu zisizoeleweka, KUB included!
 
Hiyo siyo kashfa lakini alijalibu kumwelezea Mwinyi katika mapungufu yake ili kufikisha jumbe kwa Watu alio tumia Mapungufu ya Mwinyi ili kujiendelezea masilahi yao hata hivyo status hiyo inakuja kwa Mh.Kikwete katika serikala yake.
 
Back
Top Bottom