Wananchi wengi wanaona madaktari wanayo haki ya kugoma - Kipima Joto ITV

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Katika matokeo ya Kipima Joto katika ITV usiku huu kuhusu mgomo wa madaktari ni kwamba asilimia 60 ya Watz walioulizwa wanasema jitihada zote za kutatua tatizo hilo zimeshindikana, hivyo hakuna tena haja ya kurudi mezani.

Kwa maana nyingine ni kwamba wananchi wengi wanaona madaktari sasa wana haki ya kugoma.

Ni asilimia 33 tu ndiyo wamesema bado pande mbili hizo ziendelee kuketi mezani.

My take:

\Wananchi wengi sasa wameanza kuiona serekali kwamba ni laghai tu, haina nia ya kutatua suala hilo ambalo linajirudia mara kwa mara hadi kumaliza patience ya madaktari.
 
Nimekiona hicho kipindi. Nadhani ni ukweli tu, manake danadana za serikali ya nyinyiemu zimezidi.

Wao kulipana maposho manene huwa inafanyika haraka haraka, lakini kwa madaktari na walimu eti hakuna hela lo!

naunga mkono madaktari 100% na yatakayotokea ni zigo la serikali.
 
mazongumzo-mgomo-mazungumzo-mgomo-mazungumzo-mgomo!wananchi wameshtuka na sasa wanataka utekelezaji tu.
 
Mie pia -- asilimia 10,000 nyuma ya madaktari. Hawa CCM hawana maana yoyote. wameshindwa kabisa sasa wanaingilia matusi tu Bungeni!
 
Nilikuwa napita tu nikaiona hii thread. nami nawaunga mkono madaktari pasent mia. Kazeni buti! Katika migomo kila mara serikali ya CCM huwa inashinda, lakini safari hii wananchi tuko nyuma yenu.
 
Katika matokeo ya Kipima Joto katika ITV usiku huu kuhusu mgomo wa madaktari ni kwamba asilimia 60 ya Watz walioulizwa wanasema jitihada zote za kutatua tatizo hilo zimeshindikana, hivyo hakuna tena haja ya kurudi mezani.

Kwa maana nyingine ni kwamba wananchi wengi wanaona madaktari sasa wana haki ya kugoma.

Ni asilimia 33 tu ndiyo wamesema bado pande mbili hizo ziendelee kuketi mezani.

My take:

\Wananchi wengi sasa wameanza kuiona serekali kwamba ni laghai tu, haina nia ya kutatua suala hilo ambalo linajirudia mara kwa mara hadi kumaliza patience ya madaktari.

Hii serkali inafanya mambo yange ki-almanusura-manusra tu. Sidhani, kwa mfano, mashushushu wake wanafanya kazi ya kutathmini wananchi wa kawaida wanafikiria nini kuhusu mgomo huu. Wamekaa kaa tu kufikiria kufanya madili na viongozi wengine wakuu wa serikali.

Navipongeza vyombo vya habari kwa kufanya kazi za ziada hapa nchini -- kazi kama vile kwa niaba ya Usalama wa Taifa na Takukuru.
 
I think it's high time the govt learned a big lesson like it never had! Big up doctors!
 
The doctors want to set a precedent. Wanaonyesha njia kwa wanaoonewa na serikali ya CCm. I suport them.
 
Kwa nini wasichukue zile pesa kwa lowasa alizoiba wakawapa madaktari?
 
Tume ya katiba jaribu kufungua akili basi au kufanywa mtaji ndiyo akili imekuwa blind mazima?

Madaktari wanatetea kuboreshwa kwa mazingira yao ya kazi ikiwemo vitendea kazi na mishahara yao ili mgonjwa aweze kupata huduma iliyo bora na sahihi. Wamegoma wakakubaliana na serikali madai yote yatatekelezwa mpaka leo hakuna kiongozi huyohuyo anaeambiwa atatue tatizo ndiyo anayejijazia lundo la hela za matumizi yake kwenye bajeti, madaktari wakiuliza wembe, sindano, uzi za kushonea wagonjwa wanaambiwa hakuna hela. Wapi na wapi. Au unataka ukipelekwa hospital uwe unamuona doctor anapita tu kuwajulia hali lkn no matibabu no what ndiyo uridhike?

Kiongozi akijikata kidole wakati anakata kucha anawaishwa Apolo, India hawezi kimbizwa muhimbili kwa sababu hakuna kifaa wala dawa yoyote ya kumtibu, mazingira worsiest kisa hela wamegawana kwenye matumizi yao mnabaki kwenda kukopa kwa wazungu ili muendeshe nchi, leo unaambiwa uwe mkd wangu utakataa nini? Madaktari gomeni milele.
 
Kweli nakubaliana na hao asilimia 60 kwani serikali yetu ya CCM wakati wote kwa miaka 50 wamezoea kuiendesha nchi kwa porojo na usanii badala ya kujikita katika kutatua kero za wananchi.Nia mbadala ya kuwabani ni kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao,sio utaratibu wa danganya toto wa uhudwaji wa wa tume na kamati mbalimbali ambazo zinaendelea kutumia pesa nyingi na muda bila sababu."Tutakua wa ajabu kutegemea viongozi, walewale kwa utaratibu uleule, mawazo yaleyale tutegemee mabadiliko!!"Tundu Lissu,madaktari wameonyesha mfano tunapaswa kuwaunga mkono wametuonyesha njia.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Naunga mkono Drs 100%. Waanze nasisi tufuate kudai maslah yetu. Mtu una degree unalipwa 420,000?pesa ya vikao viwil vya mbunge we unatakiwa kuish nayo mwezi mzima?
Go go go Drs tuonyeshen njia nasi tuifuate. Serikali imejaa usanii tu na wanachofanya sio siasa mana kama siasa ingekua hovyo kias hcho basi isingekua ndo muhimili wa uongoz mahala popote dunian. Wanachofanya ni uhuni.
 
Back
Top Bottom