Nape umepiga mahesabu vibaya

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
kama ukatibu uenezi ni huu chama linadondoka nape we subiri lowasa achukue chama uone utakavyotoa povu kwa elimu,ushawishi,umaarufu,hekim a,busara pesa na elimu hymuwezi lowasa sasa utajuwa lowasa ni nani pole sana kikwete kakulengesha nenepa sana kipindi hiki utanyea bakuli 2015
 
Aliyepiga hesabu vibaya Nape au Mr. Zitto aka Zero income?
 
Nnape....nenda kaendeleze fani yako ya muziki tu, pengine utaitangaza Tanzania vema kuliko kutuharibia nchi yetu kwa sera zako za mipasho!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
i am talking about ccm ukitaka ya chadema baadae hapa ndani ya ccm ninani msafi nape aliwapa siku 90 mafisadi eti ni wa3 tu ni utani wote ni wachafu na 2015 tutawaondoa kutumia vijana mnaowandaa wa jkt na bodaboda tutawapa elimu ya kuwaonesha mnavyowanyonya kwa kuwadanganya na mascraper ya mchina pikipiki ukombozi wa nchi 2015 hakuna kuiba kura chadema itashinda kwa 75% na utaona we have data pole kwa kuanza kuumia mapema
 
kama ukatibu uenezi ni huu chama linadondoka nape we subiri lowasa achukue chama uone utakavyotoa povu kwa elimu,ushawishi,umaarufu,hekim a,busara pesa na elimu hymuwezi lowasa sasa utajuwa lowasa ni nani pole sana kikwete kakulengesha nenepa sana kipindi hiki utanyea bakuli 2015

Hahahaa ndo nyie malay** wa humu ndani Lowassa anawatumia na cdm inawatuma MMMhhhhh! ADUI YAKO AKIKUSIFIA UJUE UMECHEMSHA, AKIKUPONDA KAMATA HAPOHAPO. NAPE USIRUDI NYUMA ULIPOSHIKA NI SAHIHI KABISA NA INAWAUMA SANA WENZIO NDO MAANA WANAJARIBU KUKUKATISHA TAMAA.
 
i am talking about ccm ukitaka ya chadema baadae hapa ndani ya ccm ninani msafi nape aliwapa siku 90 mafisadi eti ni wa3 tu ni utani wote ni wachafu na 2015 tutawaondoa kutumia vijana mnaowandaa wa jkt na bodaboda tutawapa elimu ya kuwaonesha mnavyowanyonya kwa kuwadanganya na mascraper ya mchina pikipiki ukombozi wa nchi 2015 hakuna kuiba kura chadema itashinda kwa 75% na utaona we have data pole kwa kuanza kuumia mapema

Unalidhalilisha jina zuri rafiki.MBONA UNAONGEA KAMA BATA ANAHARISHA HAPA??? HATA BUSARA KIDOGO YA KUWAZA MMEKOSA? CDM NA FISADI WENU EDWARD aka MMASAI FEKI KWISHNEI
 
Yan ukiongelea swala la lowasa a.k.a mwamba wa kaskazini unawafanya wana ccm watetemeke kabisa maana huyo mtu wana muogopa sana, naomba usimtaje sipendi kumpoteza nape kwenye anga ya siasa!

Kwakweli hutompata nape kwenye huu uzi ni muoga sana.
 
Kuna jambo moja nina uhakika nalo....washabiki wa lowassa wameweka njaa mbele....
 
Unalidhalilisha jina zuri rafiki.MBONA UNAONGEA KAMA BATA ANAHARISHA HAPA??? HATA BUSARA KIDOGO YA KUWAZA MMEKOSA? CDM NA FISADI WENU EDWARD aka MMASAI FEKI KWISHNEI

Ndoto za mchana hizo,cdm huwezi fananisha na nyinyiem hata mkuu wako wa nchi anajua hilo!.....mtoa mada hujakosea,Nape kapewa zigo then wenyewe wamekaa pembeni wanausoma mchezo anavyohangaika nao!....km anabisha atuambie cku 90 za kujivua gamba zimeishia wapi? El ndo kiboko yenu ww na wenzio huko nyinyiem, dadadeki!
 
​ccm ikimfukuza Lowasa mtakosa mishahara ya kuwalipa makatibu wenu shauri yenu lowasa ni taifa kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom