Ujumbe wa Balozi Ali Abeid Karume kwa kikundi cha Uamsho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa Balozi Ali Abeid Karume kwa kikundi cha Uamsho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ukoo Flani, Jun 24, 2012.

 1. Ukoo Flani

  Ukoo Flani Senior Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  “Wanaofikiria kuwa Muungano utavunjika hawajui historia ya Zanzibar, wao wanasoma vitabu na wasifikiri kuwa Ikulu ya Zanzibar itaongozwa na mtu anayeutaka urais wa kwenye vitabu, haiwezekani, Muungano hautavunjika na wanaowaza hivyo wanapaswa kujiuliza mara mbili kinachowapeleka huko ni nini.” — Balozi Ali A. Karume
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  bila shaka atagombea urais 2015
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  anatafuta kura za dodoma; deep inside haamini anachosema
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Now we are talking!
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  ''mtu anayeutaka urais wa kwenye vitabu'' hapa anamaanisha nini?
   
 6. D

  Don Draper Senior Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuruani
   
 8. F

  Falconer JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Hahhaha amelala usingizi wa pono.
   
 9. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Wape wape hao karume
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Mkuu Mzee Mwanakijiji naona watetezi/walinzi wa Mapinduzi & Muungano wananaanza kujitokeza ...

  .
   
 12. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Karume auota urais 2015


  na Christopher Nyenyembe, Zanzibar

  BALOZI Ali Abeid Aman Karume amesema kuwa yupo tayari kujiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM akitegemea kumrithi, Rais Jakaya Kikwete, kwa kuwa ni haki yake kikatiba na kwamba anaamini kwamba ana uwezo wa kufanya hivyo.


  Karume ambaye ni ndugu wa Rais msataafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume alitoa kauli hiyo mjini hapa alipoulizwa na waandishi wa habari.


  "Inshallah swali hilo mlilouliza ni zuri, Mwenyezi Mungu akinijalia uhai nitaingia kwenye mchakato huo.


  Hiyo ni haki yangu kikatiba, naheshimu utulivu na demokrasia ya nchi hii ni kubwa ambayo haina mfano wa kuigwa na nchi nyingine yoyote ya Afrika, Muungano wa kuwa na nchi mbili zinazoendelea kuongozwa bila vurugu hali hiyo tu inanipa matumaini makubwa," alisema Balozi Karume.


  Akizungumza kwa kujiamini, alieleza kujivunia na kwa kiwango cha juu cha ujenzi wa demokrasia ya kweli ndani ya taifa na misingi bora ya utawala iliyoasisiwa na viongozi wake (Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Aman Karume aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar).


  Alisema kuwa ana kila sababu ya kugombea urais mwaka 2015, akiamini kuwa uwezo anao na chama chake cha CCM hakiwezi kumwekea mizengwe kwa kuwa muda ukifika ni haki ya kila mtu mwenye dhamira ya kufanya hivyo.


  Alipoulizwa kuhusu hali ya Zanzibar na matukio yanayoendelea kutokea hasa kuhusu vuguvugu la kikundi cha wana Uamsho na hoja yao ya kutaka Muungano uvunjike kwa madai yanayoendelea kutolewa kuwa wanataka kujitenga na Watanganyika, alisema: "Wanaofikiria kuwa Muungano utavunjika hawajui historia ya Zanzibar, wao wanasoma vitabu na wasifikiri kuwa Ikulu ya Zanzibar itaongozwa na mtu anayeutaka urais wa kwenye vitabu, haiwezekani, Muungano hautavunjika na wanaowaza hivyo wanapaswa kujiuliza mara mbili kinachowapeleka huko ni nini," alihoji Karume.


  Source: http://freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=37339
   
 13. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi yale mambo yake ya ubakaji yaliishia vipi???
   
 14. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi nadhani dk slaa na bibilia+
   
 15. B

  Bob G JF Bronze Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya wavunja muungano mtoto wa former president wa zanzibar huyo. Hakuna kuvunja muungano msimtukane kama ilivo kawaida yenu
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huyu Ali Abeid Aman Karume ana tamaa mno ya kutawala .... kama 'le mutuz' vile.. Typical of wazaliwa wa watawala. Bila kutawala hana amani (pamoja na kwamba jina la baba yake ni aman)
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Maskin...

  [​IMG]
   
 18. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  UAMSHO hawajamsikia na kwa jinsi ndugu zetu hao wanavyowafukuza Wakristo na wabaraz Rais mwenye kudhubutu km Komamdoo ndo anatakiwa kutawala
   
 19. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka yake Amani Karume ukuacha mbali dhulma kubwa na Ufisadi wa nje nje, ujenzi mahoteli yake kote kisiwani mpaka makaburini, pia ndio mlezi wa kweli wa vikundi vinavyotaka kuvunja Muungano
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Alikuwa kisha lewa? anajulikana kwa ulevi na pia anaogopa mashtaka ya mauaji aliyofanya wakati wa udikteta wa baba'ke.

  Ali Karume, sidhani kama Waunguja wenzako wamesahau mauaji hayo.
   
Loading...