Masikini CHADEMA- Kwishnei

Mzalendo K

Member
Jun 22, 2012
32
13
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
 
mzalendo, pole subiri watanzania wa kesho watakavyokuwa wanalipia madeni ya mikopo isiyokuwa na tija ndiyo useme wewe ni mpiga kura wa CCM. Itakulipia
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

Hilineno Dhaifu, machizi, wapuuzi ni la wana CCM wote ndiyo maana unaweza kuanzisha thread dhaifu kama hii.............
 
Ndg.nikusahihishe kidogo hapo ktk red,baada ya neno CHAMA ulitakiwa uongeze CHA MAPINDUZI then ungemalizia na neno HEWA.Abbreviation yake inakuwa CCMH.:dance:
 
Ngoja tuone itaishiaje hii ngoma, maana ndiyo kwanza tunaelekea nusu ya kwanza. Lakini uzuri CCM wanamakundi sijui watajinasua vipi nayo! ikitokea CCM wakaelewana na kufanya kile kinachohubiriwa na CDM yote ni kheri kwa taifa letu. Lakini kama wataendelea kufitishana na kutengenezeana mizengwe, CDM inaweza kuongoza serikali awamu ya tano.
 
tatizo la nchi hii ni chama cha mapinduzi si jingine...wabunge woote wa ccm wamepitisha hoja ya bajeti baada ya kuchimbwa mkwara..huu ndio udhaifu ambao mnyika amswatungia jina
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Umejiunga leoleo ili ulete ujinga huu? kweli Nape amekosa watu. Hivi kwanini asiwe anawafanyia usaili kabla hajawaajiri?
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

kijana dhaifu anatoa hoja dhaifu anatoka chama dhaifu,
 
Hilineno Dhaifu, machizi, wapuuzi ni la wana CCM wote ndiyo maana unaweza kuanzisha thread dhaifu kama hii.............

Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
 
baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, ccm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama cha mapinduzi hewa!!..{ccmh}. Bahati mbaya sanaccmh kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

mkuu umetokea wapi?
 
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

Mkuu, samahani hujaeleweka vizuri, tafadhali fafanua hapo kwenye wekundu.
 
Unasifia bajeti mbovu iliyopitishwa na wabunge DHAIFU kweli na wewe una mawazo dhaifu sana km yule dhaifu wa Magogoni
 
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.

Post yako na avatar yako vinaendana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom