Dr fernandes wa atn awasihi madaktari wasigome

sexon2000

JF-Expert Member
Apr 18, 2010
299
65
Naomba madaktari waangalie ATN

1. Mtume amewaomba madaktari wasigome. Amewasihi kuwa waangalie wananchi maskini sio serikali. Wamwangalie Mungu na wasigome. Wasidhani wanashindana na serikali bali wanashindana na thinking zao maana wanashindana na serikali ya CCM ambayo ni kiziwi.

2. Ameitaka CCM ibadilike haraka sana mtazamo wa kutufanya watanzania ni wajinga. Watanzania sio wajinga. Wao wanajaza matumbo kwa mishahara na marupurupu mengi na kuacha maisha ya watanzania kwenye rehani. Wanawadanganya madaktari wanadhani ni wajinga, Mungu amesikia kilio cha madakatari atajibu kwa MOTO.

3. Amesema wale wote serikalini waliingia kutuibia, waache maana ameomba waondoke haraka maana kama mtumishi wa Mungu amesema wataondoka kwa nguvu ya Mungu mmoja mmoja. Wasome Yoel 15

4. Amewasihi, Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wote wenye madaraka kusikia sauti ya Mungu kuhakikisha huu mgomo haufanyiki sio kwa kuwatisha madaktari bali kwa kufuata haki.

More to follow
 
nape,bakwata,askofu anglikana na sasa ni ATn.hii ni nguvu kubwa ya propaganda inayotumiwa na serikali.hofu yangu ni kuwa imechelewa sana!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mada ni kipisi....

IBADA inaendelea
 
Mzee wa ATN naye kafunguka, sijui naye watasema sio msomi.
 
Nimeipenda hii kwa kuwa imewachana magamba pia na huu ndio ukweli, magamba yasidhani sisi ni wajinga, wawasikilize madaktari na wasiwafanyie huu usanii wanaofanya, nilidhani mwinyi na mponda ni tofauti kumbe ni wale wale tu, kweli tatizo ni mfumo, dhaifu be careful
 
nape,bakwata,askofu anglikana na sasa ni ATn.hii ni nguvu kubwa ya propaganda inayotumiwa na serikali.hofu yangu ni kuwa imechelewa sana!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

ATN hatishi Ma DR, bali kakomaa zaidi na serikali. Madaktari amewashauri wamwangalie Mungu sio serikari kiziwi.
 
Mungu akusamehe maana amtukanaye mtumishi wa Mungu amemtukana Mungu naye atamrudi. Tubu au jiandaye kupata kichapo cha Mungu leo hii.

Eti nini?..amtukanae mtumishi kamtukana mungu..acha kutishia watu wazima nyau bhana
 
Kweli jk kucheka cheka kunamtokea puani.

Jk: Naweza nikawa na tabasamu lakini nina msimamo.
 
Rai kwa madaktari kama nilivyopata kusikia kutoka kwa mmoja wa madaktari na ambaye yupo kwenye mgomo,nawasihi mpango wenu mliokubaliana wa kutokusikiliza propaganda ziendelee,na nawaomba suluhu iwe kama mlivyopanga ya kuwa kusitisha mgomo mpaka hela iwe mezani,na mazingira ya kufanyia kazi yaboreshwe na isiwe kwa vitisho vya watu,dini,taasisi,jeshi wala mahakama.

Endeleeni kutumia mfumo wenu wa mawasiliano ambao mmejipangia ili kupunguza kuingiliwa kwa mikakati mnayoipanga.nawatakia mgomo mwema
 
Back
Top Bottom