Madaktari waipiga changa la macho serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari waipiga changa la macho serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Jun 23, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Wakati serikali ikikimbilia kuzuia mgomo mahakama kuu ya kazi, madaktari wanashangaa.
  Serikali imeweka zuio la mgomo wa madaktari wa chama cha madaktari MART wakati madaktari wanafanya mgomo kupitia jumuia ya madaktari chini ya Uongozi wa Stephen Olimboka.
  Naibu mwanasheria mkuu bwana Masaju katika chl10 kasema wao wanachotambua ni chama cha madaktari kilicho sajiliwa hivyo vyama vingine havitambuliki.
  kaongeza pia ambaye atakiuka sheria ya mahakama atashitakiwa na awale watakao sababisha vifo. Mia
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ngoja tuone Punda anavyolazmishwa kunywa maji
   
 3. c

  ck1 Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani mahakama itawafanya nini madaktari wote wakiamua kugoma?
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sure
  Full mavifo kama madaktari hawapo hivi
   
 5. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hapa Punda anaweza akawa Pinda (serikali inalazimishwa kulipa ... ) au ni madaktari (madaktari wanalazimishwa kufanya kazi ....) au ?
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
   
 7. a

  afwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kiongozi wa serikali yetu ni dhaifu matokeo yake serikali anayoiongoza imekuwa dhaifu. Ushahidi wa udhaifu huu ni pamoja na namna inavyotatua matatizo makubwa ya nchi kama hili la madaktari. Sikuamini nilipomsikia waziri mkuu anasema serikali imelipeleka swala la madaktari mahakamani.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mahakama haiwafanyi kitu, itatoa hukumu.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hawa watu wanaathirika even madaktar wapo kazini
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi kabisa.....pata picha kila kitu kitakapokuwa kimesimama.....

  Pili je, tunamuadhibu nani hapo?? serekali? Kwa maana ya nani?Kikwete Pinda au hussein Mwinyi wa wategemezi wao??.....
   
 11. s

  simon james JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmezunguka hospital kujua hali inaendeleaje
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,660
  Trophy Points: 280
  Je serikali ITADHIBITISHA VIPI watu waliopangiwa KUFA siku za mgomo na MUNGU ndio kapanga? maana hata madaktari wakiowepo vifo vipo bali kwa wastani....
   
 13. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 870
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  wafundishe watz kufanya wanachopaswa kufanya, kutimiza wajibu wao! si sahihi madaktari kulalamikia maslahi yao, sisi wananchi na hao unaowatetea tulipaswa kuilazimisha serikali iwajali madaktari wanaotutibu, kumbuka kazi yao ni ngumu, hata pale ndugu wa mgonjwa hawaruhusiwi kumgusa ndugu yao madaktari lazima wamhudumie! unayajua haya? km unaujua ukweli huu huwezi kuwalaumu madaktari kwa kile wanachofanya sasa, wamelazimika kufanya hivyo.
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  npo maeneo ya muhimbili,ngoja nicheki hali halisi ikoje!
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kumpiga chura teke ni kumuongezea kasi,kila siku Serikali inavyozi kuwakandamiza wananchi wake ktk mambo tofauti ndivyo inavyojirahisishia kuondoka madarakani.
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unakimbilia kujihami hivyo?
  Hivi unafikiri wagonjwa sasa hivi mahospitalini hawapati madhara hata kama hakuna mgomo? Ulipata soma au kusikia madai ya madaktari? Utaona wanachodai siyo maslahi yao tu.
  Tutake tusitake hii serikali yetu ni ya kisanii sana. Hivi kama kungekuwa na mgomo.
  Tatizo lipo kwa serikali yenye mawazo yale yale ya kutatua matatizo. Hivi mahakama ikizuia, inaweza kuwalazimisha madoctor kufanya upasuaji?
  Serikali na mahakama zake vichwa maji tu.
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Tunazungumzia Vifo vinavyosababishwa kwa makusudi na Serikali sababu mvutano ulio hapa ni kati ya Serikali(inayopaswa kuwajibika kwa wananchi)na madaktari wanaotakiwa kutekeleza majukumu yao.
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Watumie vizuri nafasi yao ya kupiga kura ili wachague serekali makini itakayotumia vizuri rasilimali tulizojaliwa ili wafanyakaze wote walipwe vizuri..

  Ambacho sikubaliani nacho hapa ni kushabikia matendo yatakayopelekea madhara kwa wasioukuwa na hatia kwa sababu tu tunataka kuiadhibu serekali ambayo to my opinion haiathiriki katika hili...
   
 19. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hivi wananchi hatuwezi kuishitaki Serikali Kama vifo vitatokea?Kwa mfano sisi wananchi tumeshatimiza jukumu letu kwa kulipa kodi ya Serikali na kila siku tunaendelea kulipa kodi ya moja kwa moja kwa ununuzi Wa mahitaji yetu ya kila siku(unga/sukari/mafuta/sababuni/mchele/n.k.),sasa vipi kwa upande wa pili wa Serikali kuwajibika kwetu sisi wananchi kwa kutupatia Huduma bora na salama?
   
 20. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mimi nimetembelea hospitali ya mkoa wa Dodoma. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwasababu huduma inayoendelea ni ya usafishaji vidonda tu.
   
Loading...