Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika historia ya dunia ya leo siku zote watawala au vyama vinavyokaa madarakani muda mrefu viongozi wake hugeuka watawala na kuwa kama wanyama.Watu wanapodai haki zao huwaona kama waasi ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa. Kama...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Spika Makinda aache mara moja kulaghai Bunge na Watz kwa ujumla -- kwani wengi tuna uelewa wa mambo kuliko yeye -- hata hizi Kanuni za Bunge anazodai anazisimamia pia tunazifahamu. Anavungavunga...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
KATIKA mgogoro unaoendelea hivi sasa kati ya Serikali na madaktari, yapo mambo matano ambayo sisi hatutaki kuyaamini. Kwanza, hatutaki kuamini kwamba unyama aliofanyiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba upitishe mchango wawazi kwa wabunge wote waliotayari na walioguswa na kuokoa uhai wa mpendwa wetu, ndugu yetu,mtaalam wetu Dr Ulimboka iliaweze kwenda kupata matibabu! NIOMBI.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya kushuhudia migomo ya madaktari kwa awamu mbili na baadaye kufuatiwa na majadiliano yalioyoisha hivi karibuni sasa kuna kila dalili ya kutokea kwa mgomo mwingine mara itakapofika tarehe 23...
17 Reactions
170 Replies
17K Views
Just take your time and enjoy reading this political rendition of the current situation.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mdaktari wanahitaji Mshahara wa Milioni 3.5, Katika nchi Maskini ni Vigumu kulipwa mshahara huu, Nadhani wafanye Analysis kama inawezekana kwani kwa sasa anayetoka Chuoni analipwa Kuanzia Laki...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu tutafute namna ya kuwadhibiti viongozi hawa pindi inapothibitika walikanusha kuwepo kwa taarifa au tukio la ukweli. Jambo hili tutafute namna ya kuliweka vizuri na kwa uwazi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali yetu ingekuwa na vifaa vya kutosha Dr.Ulimboka angetibiwa muhimbili wataalamu wapo tatizo vifaa hamna kuna haja gani kuwa madaktari mabingwa wakati hakuna vipimo naombeni nisaidie wana jf...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Ukiachilia mbali coverage kubwa waliyo-enjoy CCM kwa kutumia Radio Tanzania, kisha TBC, hata lile jina WANAMTANDAO lililoibuka mwaka 2005 ni kutokana na lile kundi la CCM kuweza kutumia vizuri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka...
3 Reactions
142 Replies
12K Views
UKIIKOSA HII UTAJILAUMU MILELE..... Siku ya jumapili tarehe 15.07.2012 kuanzia saa 6.00 mchana, maelfu ya wakazi wa DAR ES SALAAM watamwagika kwa wingi uwanja wa JANGWANI, uwanja wa nyumbani...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni juzi tu masoud kipanya alichora katuni ikionyesha wapiga kura wamepanga msururu mrefu sana kwenda kupiga kura, na katika meza ya kupigia kura kulikuwa na dhaifu against dikteta, katuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iliwezekanaje kugundua mtego wa Al-shababy kutaka kuvuruga amani kwa mashambulizi kwenye maandamano ya vyama vya upinzani lakini ikashindwa kudhibiti utekaji nyara wa Dr. Ulimboka ,ambaye kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana JF wote Leo tusemezane kuhusu hii tabia ya wanasiasa au viongozi wa serikali kupata kashfa za ngono imekuwa kama moja ya kuedit CV zao duniani swali wanapata wapi mda wa kukimbizana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hatimaye bajeti na mazongezonge yake katika ofisi ya waziri mkuu yapita kwa lugha laini,tunachosubiri ni utekelezaji.Tumechoshwa na serikali ipo kwenye mchakato,tumejaribu kuliangalia kwa umakini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wana jamii naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Asha migiro,anna tibaijuka,benard membe,edward lowasa,zitto kabwe,samwel sita,mwakyembe,john magufuli,mr.ii,wema sepetu,leordiga tenga,reginald mengi,issa simba,kardinal pengo,anthony...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Licha ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapora ardhi zao na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni pamoja na kuendelea...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…