Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbunga, Jul 6, 2012.

 1. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Namsikiliza Dr., Magufuli akihitimisha uchangiaji wa budget ya wizara yake. Ameanza kupangua hoja moja baada ya nyingine akishuka na data. Anamshangaa mkosamali kwa kuwa hata akipewa anasema hakipo.

  Msikilizeni kama mnapenda

  TuneIn Web Tuner
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Anasema fire pale kutakuwa na barabara nane na siyo nne. Anasema barabara zinazojengwa hapa Tanzania zingepelekwa Rwanda basi wanyarwanda wasingepata mahala pa kulima, nchi yote ingekuwa lami.
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  namna anavyoongea utadhani serikali inapiga kazi kweli

  we msikilize kwa makini ..kila bara bara anasema TUNATARAJIA si kwamba ndio mpango au azimio ni kuijenga kwa rami. mambo mengi ni wishful thinking ...
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,053
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Anakuambia CCM Oyeee,
  Chadema Oyeee,
  Cuf Oyeeee,
  TLP Oyeeee,
  Nccr Oyeeee,
   
 5. 2

  2000yrs Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo ndo jembe la magamba lililobaki.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Anakupa historia ya sheria ya hifadhi ya barabara tangia mwaka 1934!
   
 7. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mnafiki tu huyo, hana chochote ni mropokaji wa propaganda za ccm
   
 8. p

  patakazi Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima atoe makilometa hapo na mavijiji ya uongo ili watanzania wamuamini,akili ndogo tuu huyo hana lolote
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu lakini naona anakubalika na hata wabunge wengi sana waliochangia hoja yake naona wamemkubali sana.
   
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Unataka afanye propaganda za CDM?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anamshangaa Rweikiza kutoiunga mkono bajeti, wakati hata wapinzani wameiunga mkono.

  Anasema barabara ya bamba bay haitawekwa kwa lami, na huo ndiyo ukweli.
   
 12. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu kimbunga asante kwa link
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hili lijamaa linachapa kazi tuache utani.
  Japo siyo hela yake ya mfukoni lakini amesimamia ipasavyo.

  Yupo makini
   
 14. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mie nimeshamchoka na mbwembwe zake bara bara haziendi zimesimama zinazofanyiwa kazi ni zile tu tulizo fadhiliwa hata ukisikiliza mchango ya wabunge wengi hata wa ccm wanalalamika pesa na mambo yaliopangwa mwaka jana hayajafanyika

   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  mi hapa namchora kupitia kupitia tv card
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Dr. Magufuli bwana anawajua hata wenyeviti wa vijiji! Anamhabarisha Rweikiza! Masikini kumbe Rweikiza kakosea na kudhani mkataba ulikuwa wa Ujenzi kumbe siyo ni wa TAMISEMI! Duh Magufuli mwacheni aitwe Magufuli.

  Anaitaja Katerero wabunge wanacheka!
   
 17. M

  Masuke JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Jamaa anajitahidi sana, wasiomkubali inabidi wamkubali tu.
   
 18. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  AKILI NDOGO MAGAMBA WOTE AKILI KUBWA CDM LAZIMA WATAWALE MAGAMBA AKILI ZIMEGANDa
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Kumbe mkuu Mungi nawe unaliona hilo. Jamaa amejipambanua tofauti na wengine. Kwa hakika CCM ingepata mawaziri watano tu kama huyu basi isingekuwa na tabu iliyonayo sasa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu, anasemaje kuhusu kampuni ya Ujerumani Strabag International kuhusu mradi wa mabasi yaendayo kasi?
   
Loading...