Serikali ya kikwete nachanganya ooh na uzushi na maneno mbofumbofu

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Maisha bora kwa kila mdanganyika lakini leo wiki ya pili imekatika huduma hospitali za rufaa zimedorora.wanafanya maigizo kudanganya watu maskini wenye kuhitaji huduma hii kwa hali ya juu wanakuja hospitali na kurudia opd,kikwete siku ukiondoka madarakani ni kama tumepata uhuru upya
endeleeni na propaganda na madaktari na style yao ya kimya kimya tuone kama wananchi hawajakujia magogoni na maiti za ndugu zao utumie kama futari
 
Back
Top Bottom